-
Mashinikizo ya wananchi yawalazimisha Wazayuni kuvunja safari ya kwenda Bahrain
Apr 14, 2019 12:22Ujumbe wa kibiashara na kisiasa wa utawala wa Kizayuni uliokuwa umepanga kwenda mjini Manama, Bahrain kushiriki katika mkutano wa kimataifa wa kiuchumi umelazimika kuvunja safari hiyo kutokana na upinzani mkali wa wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Safari ya Mflame Salman wa Saudia nchini Bahrain, kuendelea kuuhami utawala wa Aal Khalifa
Apr 04, 2019 22:13Mfalme Salman Bin Abdulaziz wa Saudi Arabia ameitembelea Bahrain katika safari fupi na kufanya mazungumzo na mfalme wa nchi hiyo Hamad bin Isa Aal Khalifa.
-
Sheikh Issa Qassim alaani mpango wa kukaribishwa Wazayuni Bahrain
Apr 03, 2019 10:22Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Bahrain, Sheikh Isa Qassim amekosoa vikali hatua ya kualikwa Wazayuni kwenye Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kufanyika katikati ya mwezi huu wa Aprili nchini humo.
-
Wabunge wa Bahrain wakosoa kualikwa Wazayuni katika Kongamano la Biashara
Apr 01, 2019 10:32Wabunge wa Bahrain wamekosoa vikali hatua ya kualikwa wazungumzaji kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Kongamano la Kibiashara linalotazamiwa kufanyika katika kipindi cha wiki mbili zijazo nchini humo.
-
Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni
Mar 31, 2019 22:23Kufuatia ushiriki wa idadi kadhaa ya viongozi wa Kizayuni katika mkutano uliopewa jina la 'Ujasiriamali' nchini Bahrain, Waziri wa Viwanda wa Kuwait ametangaza kususia mkutano huo.
-
Amnesty yasema Bahrain inatumia mashindano ya magari kujikosha
Mar 29, 2019 00:07Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Bahrain inaendelea kutumia mashindano ya magari ya Langalanga maarufu kama Formula 1 kwa ajili ya kujikosha.
-
Taarifa ya makundi ya wanaharakati wa Bahrain ya kulaani uwepo wa wanajeshi ghasibu wa Saudi Arabia na Imarati nchini mwao
Mar 16, 2019 08:25Muungano wa Vijana wa Februari 14 na Harakati ya Kitaifa ya Kiislamu ya al Wifaq za nchini Bahrain zimelaani uwepo wa wanajeshi vamizi wa Saudi Arabia na Imarati nchini humo na kusisitizia haja ya kuendelezwa muqawama na kusima kidete kwa ajili ya kuhakikisha Wabahrain wenyewe ndio wanaojiamulia mustakbali wao.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain adhihakiwa kwa kujikomba kwa Bin Salman
Feb 23, 2019 12:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain Khalid bin Ahmed Al Khalifah amedhihakiwa na kubezwa kimataifa kwa kumlinganisha mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman na Ukuta Mkubwa wa China.
-
Bahrain yawavua uraia makumi ya wanaharakati wa upinzani
Feb 21, 2019 21:43Shirika huru la kutetea haki za binadamu limesema utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain umewafutia uraia makumi ya wanaharakati wa upinzani wa nchi hiyo katika kipindi cha wiki chache zilizopita.
-
Kuanza mwaka wa tisa wa mwamko wa kimapinduzi wa watu wa Bahrain
Feb 14, 2019 23:19Februari 14 mwaka 2019, umetimiza mwaka wa nane tokea uanze mwamko wa kimapinduzi wa watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kiimla wa Aal Khalifa. Mapinduzi ya watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa kifalme wa Aal Khalifa ambayo ni maarufu kama "Mapinduzi ya Lulu" yalianza Februari 14 mwaka 2011.