Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Wapinzani 32 wakamatwa Bahrain masaa 24 yaliyopita

    Wapinzani 32 wakamatwa Bahrain masaa 24 yaliyopita

    Mar 24, 2018 02:48

    Utawala wa kiimla wa Bahrain umewakamata wapinzani 32 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita huku ukandamizaji ukiendelea kushika kasi nchini humo.

  • Wimbi jipya la malalamiko ya wananchi nchini Bahrain

    Wimbi jipya la malalamiko ya wananchi nchini Bahrain

    Mar 18, 2018 23:46

    Jumamosi usiku raia wa Bahrain walifanya maandamano katika maeneo mengi ya nchi hiyo sambamba na kulaani hatua hasi za utawala wa Aal Khalifa kuwalenga wapinzani.

  • Filamu ya matukio yathibitisha: Saudia na washirika wake walihusika katika njama ya mapinduzi Qatar

    Filamu ya matukio yathibitisha: Saudia na washirika wake walihusika katika njama ya mapinduzi Qatar

    Mar 05, 2018 22:57

    Kanali ya televisheni ya Aljazeera ya Qatar imeonyesha filamu ya matukio (documentary film) iitwayo "Qatar 96" inayothibitisha kuwa Saudi Arabia, Imarati (UAE), Bahrain na Misri zilihusika katika jaribio lililofeli la mapinduzi ya kijeshi la mwaka 1996 nchini Qatar.

  • Qassemi: Madai yasiyo na maana dhidi ya Iran hayawezi kutatua matatizo ya Bahrain

    Qassemi: Madai yasiyo na maana dhidi ya Iran hayawezi kutatua matatizo ya Bahrain

    Mar 04, 2018 13:01

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai yasiyo na msingi na ya kukariri ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain dhidi ya Iran na kusisitiza kwamba, uzushaji mambo, kuendesha senario za kujikariri na tuhuma zisizo na msingi wala mashiko dhidi ya wengine katu haziwezi kuyapatia ufumbuzi matatizo ya utawala wa Bahrain na raioa wake.

  • Wanaharakati 116 wanaopinga ufalme wakamatwa Bahrain

    Wanaharakati 116 wanaopinga ufalme wakamatwa Bahrain

    Mar 03, 2018 23:07

    Maafisa wa polisi nchini Bahrain wamewakamata wanaharakati 116 wanaopinga ufalme wa ukoo wa Aal Khalifa huku ukandamizaji wa wapinzani ukiendelea kushika kasi katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Kwa wiki ya 85 mtawalia utawala wa Bahrain wazuia kusaliwa Sala ya Ijumaa eneo la Ad Diraz

    Kwa wiki ya 85 mtawalia utawala wa Bahrain wazuia kusaliwa Sala ya Ijumaa eneo la Ad Diraz

    Mar 03, 2018 01:09

    Askari wa utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain jana walizuia kwa wiki ya 85 mtawalia kusaliwa Sala kubwa zaidi ya Ijumaa ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika eneo la Ad Diraz.

  • Mahakama Bahraini yaidhinisha hukumu ya kifo kwa mpinzani wa utawala

    Mahakama Bahraini yaidhinisha hukumu ya kifo kwa mpinzani wa utawala

    Feb 26, 2018 23:20

    Mahakama ya kilele ya rufaa nchini Bahraini imeidhinisha hukumu ya kifo iliyotolewa dhidi ya mwanaharakati wa Kishia ambaye amekuwa akiupinga utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Miili ya vijana watatu wa Bahrain waliouliwa na utawala wa Aal Khalifa, yazikwa mjini Qum, Iran

    Miili ya vijana watatu wa Bahrain waliouliwa na utawala wa Aal Khalifa, yazikwa mjini Qum, Iran

    Feb 23, 2018 21:22

    Miili ya vijana watatu wa mapinduzi ya wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa na waliouliwa na polisi wa utawala huo, walizikwa jana Ijumaa mjini Qum, kusini mwa Tehran.

  • EU, HRW na Amnesty zaitaka Bahrain imuachie huru mwanaharakati aliyeikosoa Saudia

    EU, HRW na Amnesty zaitaka Bahrain imuachie huru mwanaharakati aliyeikosoa Saudia

    Feb 23, 2018 04:05

    Umoja wa Ulaya umeitaka serikali ya Bahrain imuachie huru Nabeel Rajab, mwanaharakati mashuhuri wa masuala ya haki za binadamu nchini humo, ambaye siku ya Jumatano alihukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kile kilichoelezwa kwamba, ni kupatikana na hatia ya uchochezi na kutoa jumbe za kukosoa utawala wa nchi hiyo na utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia.

  • Nabeel Rajab ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela nchini Bahrain

    Nabeel Rajab ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela nchini Bahrain

    Feb 22, 2018 00:59

    Nabeel Rajab, mwanaharakati mashuhuri wa masuala ya haki za binadamu nchini Bahrain amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kile kilichoelezwa kwamba, ni kupatikana na hatia ya uchochezi na jumbe za kukosoa utawala wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS