Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Utawala wa Aal Khalifa wafanya njama za kueneza chuki dhidi ya Mashia Bahrain

    Utawala wa Aal Khalifa wafanya njama za kueneza chuki dhidi ya Mashia Bahrain

    Mar 08, 2016 03:12

    Mkuu wa masuala ya uhuru wa kidini katika shirika la kutetea haki za binadamu la Bahrain ametangaza kuwa kuwatuhumu Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo kwa uhaini kunakofanywa na vyombo vya habari vyenye mfungamano na utawala wa Aal Khalifa sasa limekuwa ni jambo la kawaida.

  • Umoja wa Mataifa waukosoa utawala wa Aal Khalifa kwa kubadili muundo wa jamii ya Bahrain

    Umoja wa Mataifa waukosoa utawala wa Aal Khalifa kwa kubadili muundo wa jamii ya Bahrain

    Mar 04, 2016 14:35

    Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa viongozi wa utawala wa Bahrain wamekusudia kubadili muundo wa kijamii wa nchi hiyo.

  • Utawala wa Aal Khalifa washindwa kuzuia kusaliwa Sala ya Ijumaa Bahrain

    Utawala wa Aal Khalifa washindwa kuzuia kusaliwa Sala ya Ijumaa Bahrain

    Feb 27, 2016 02:59

    Hatua za askari polisi wa utawala wa Aal Khalifa za kutaka kuwazuia wananchi wa Bahrain wasishiriki kwenye Sala ya Ijumaa zimegonga mwamba.

  • Hali mbaya ya wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain

    Hali mbaya ya wafungwa wa kisiasa nchini Bahrain

    Feb 26, 2016 16:20

    Matukio yanayojiri nchini Bahrain yanaonyesha kuwa utawala wa Aal Khalifa unazidisha hatua za ukandamizaji dhidi ya wananchi kiasi kwamba kuwatia nguvuni na kuwafungulia kesi wanaharakati wa kisiasa kunazidi kuchukua sura pana zaidi inayozidi kutia wasiwasi siku baada ya siku.

  • Ripoti: UK, Saudia zaukingia kifua utawala wa Bahrain

    Ripoti: UK, Saudia zaukingia kifua utawala wa Bahrain

    Feb 21, 2016 08:02

    Ripoti ya hivi karibuni imefichua kuwa, Saudi Arabia na Uingereza zilishirikiana kuvuruga azimio la Umoja wa Mataifa dhidi ya Bahrain.

  • Wabahrain waendeleza maandamano kupinga udikteta

    Wabahrain waendeleza maandamano kupinga udikteta

    Feb 20, 2016 13:22

    Wananchi wa Bahrain wameendeleza maandamano dhidi ya utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Wabahrain waendesha kampeni ya uasi wa kiraia

    Wabahrain waendesha kampeni ya uasi wa kiraia

    Feb 12, 2016 15:37

    Wananchi wa Bahrain leo wameandamana katika miji na vijiji kadhaa katika kampeni ya uasi wa kiraia huku wakijitayarisha kuadhimisha mwaka wa tano wa mwamko dhidi ya utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.

  • Bahrain nayo yasema iko tayari kutuma askari Syria

    Bahrain nayo yasema iko tayari kutuma askari Syria

    Feb 06, 2016 07:52

    Utawala wa Aal-Khalifa umesema Bahrain iko tayari kutuma askari wake wa nchi kavu nchini Syria, eti kupambana na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS