-
Uamuzi wa Bangladesh wa "kuwatupa" Waislamu wa Rohingya katika visiwa visivyo na watu
Feb 23, 2018 16:58Serikali ya Bangladesh imetangaza kuwa, viongozi wa nchi hiyo wana nia ya kuwapeleka Waislamu wa jamii ya Rohingya katika visiwa visivyokaliwa na watu kwenye Ghuba ya Bengal.
-
Kuwasilishwa kwa Myanmar orodha ya kwanza ya Waislamu wa Rohingya watakaorejeshwa nchini humo
Feb 18, 2018 08:13Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bangladesh ameikabidhi Myanmar orodha ya kwanza ya wakimbizi wa Waislamu wa kabila la Rohingya ambao wanatazamiwa kurejeshwa katika makazi yao.
-
UNICEF yataka kuandaliwa mazingira ya kurejea wakimbizi watoto wa Myanmar
Jan 25, 2018 07:24Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuboreshwa mazingira ya kiusalama na kuandaliwa uwanja wa kurejea nchini Myanmar wakimbizi watoto wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya walioko nchini Bangladesh.
-
Warohingya walioko Bangladesh wakataa kurejeshwa nchini Myanmar
Jan 19, 2018 13:53Mamia ya wakimbizi wa Kirohingya walioko nchini Bangladesh leo Ijumaa wamefanya maandamano wakipinga mpango wa kuwarejesha nchini Myanmar, ambako walikimbia mauaji na mashambulizi kutoka kwa jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.
-
EU: Idadi ya watoto mayatima wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh ni 40,000
Nov 02, 2017 07:31Kamishna Mkuu wa Misaada ya Kibinadamu na Kudhibiti Majanga wa Umoja wa Ulaya amesema zaidi ya watoto elfu 40 ni miongoni mwa malaki ya wakimbizi wa jamii ya Rohingya waliokimilia nchini Bangladesh kutokana na mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.
-
Bangladesh kufunga uzazi wakimbizi Waislamu Warohingya kutoka Myanmar
Oct 28, 2017 15:37Maafisa wa afya nchini Bangladesh wamesema wameanzisha mpango maalumu wa kupunguza idadi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya ambao wamekimbia mauaji ya kimbari huko Myanmar na kujazana katika kambi za wakimbizi nchini Bangladesh.
-
Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu
Oct 16, 2017 08:14Idara ya Huduma za Kijamii nchini Bangladesh imesema watoto karibu 14 elfu wa Rohingya wamekuwa mayatima baada ya kupoteza wazazi wao katika mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii hiyo nchini Myanmar.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi laki 8 wa Myanmar waliopo Bangladesh
Oct 08, 2017 08:07Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kutoandaliwa kambi kwa ajili ya kuwahifadhi wakimbizi Waislamu wa Rohingya wapatao laki nane huko Bangladesh ni jambo hatari sana.
-
Kuanza mazungumzo baina ya Bangladesh na Myanmar kuhusu kurejea wakimbizi Warohingya
Oct 04, 2017 02:20Waziri Mkuu wa Bangladesh ametoa habari ya kuanza mazungumzo kati ya nchi yake na serikali ya Myanmar kwa ajili ya kuwarejesha makwao kwa akali wakimbizi nusu milioni ambao ni Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia katika nchi hiyo jirani.
-
Ombi la Bangladesh kwa UN kuhusu Waislamu wa Rohingya
Sep 23, 2017 06:18Serikali ya Bangladesh imeutaka Umoja wa Mataifa kutenga eneo maalumu litakalokuwa chini ya umoja huo kwa ajili ya kuwadhaminia usalama Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaouliwa kikatili na mabudha wa Myanmar.