-
Araghchi: Matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wamarekani na Wazayuni dhidi ya eneo
Dec 02, 2024 03:53Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wazayuni na Wamarekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu: Muqawama ni utambulisho mzuri sana wa Syria
May 30, 2024 09:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama ni utambulisho mzuri na bora wa Syria na akaeleza kwamba, nafasi maalumu iliyonayo Syria katika eneo ni kutokana na utambulisho huu na sifa hiyo muhimu inapaswa kuhifadhiwa.
-
Rais wa Syria: Mshikamano wa nchi za Kiarabu unapelekea kupatikana utulivu katika eneo
Apr 28, 2024 23:36Rais wa Syria amesema kuwa kuwepo mshikamamo baina ya nchi za Kiarabu na kutekeleza hatua za pamoja kutapelekea kupatikana amani na uthabiti katika eneo.
-
Raisi katika mazungumzo na Bashar Assad: Nguvu ya mapambano ndio kigezo kikuu
Nov 12, 2023 03:09Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria wamesisitiza katika mazungumzo yao kuwa nguvu na uwezo wa mapambano ndio kigezo kikuu na cha mwisho kinachopasa kuzingatiwa na Waislamu.
-
Bashar Assad: Marekani inashirikiana na magaidi
Sep 30, 2023 03:46Rais Bashar al-Assad wa Syria amezungumzia kuwepo kwa magaidi katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na jinsi Marekani ilivyo na udhibiti kamili wa maeneo hayo na kusisitiza kwamba Washington inashirikiana na magaidi.
-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko China
Sep 23, 2023 08:02Rais Bashar al Assad wa Syria Alhamisi ya juzi tarehe 21 Septemba aliwasili katika mji wa Hangzhou mashariki wa China kwa lengo la kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa michezo ya Asia ya Hangzhou na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jin Ping wa nchi hiyo.
-
Abdollahian: Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria hadi kutokomeza kabisa ugaidi
Aug 31, 2023 08:44Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haja ya kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Syria na kusisitiza kwamba, Iran itaendelea kusimama pamoja na Syria katika kukamilisha kampeni yake dhidi ya ugaidi.
-
Rais wa Syria afanya ziara ya kihistoria nchini Saudi Arabia + Video
May 18, 2023 22:55Rais Bashar al Assad wa Syria usiku wa kuamkia leo Ijumaa amewasili nchini Saudi Arabia kwa ajili ya kushiriki katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ikiwa ni ziara ya kwanza ya kutembelea nchi hiyo tangu Syria ilipotumbukizwa kwenye mgogoro wa uvamizi wa magenge ya kigaidi.
-
Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo
May 03, 2023 08:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.
-
Saudia yamwalika Rais Assad wa Syria katika kikao cha Riyadh cha viongozi wa Arab League
Apr 03, 2023 22:41Shirika la habari Reuters limeripoti kuwa, Saudi Arabia inapanga kumualika Rais Bashar al-Assad wa Syria kuhudhuria mkutano ujao wa wakuu wa nchi za Kiarabu.