-
Kufilisika benki za Marekani na hofu ya madhara yake
Mar 18, 2023 04:05Mtikisiko uliosababishwa na kufilisika kwa Benki ya Silicon Valley (SVB) unaendelea kushuhudiwa katika jamii ya Marekani. Wataalamu wengi pia wana wasiwasi kuhusu mustakbali wa uwekezaji na hali ya uchumi katika nchi hiyo na uwezekano wa hali hiyo kuhamia katika maeneo mengine, ikiwa ni pamoja na Ulaya.
-
Benki za Kiislamu Tanzania zakumbatiwa na wasiokuwa Waislamu
Apr 07, 2022 01:57Benki za Kiislamu nchini Tanzania zimeendelea kupata umaarufu na kupongezwa kwa huduma zao, na sasa zinawavutia kwa wingi hata wateja wasiokuwa Waislamu nchini humo.
-
Vikwazo vipya vya Marekani, njama za juu zaidi za serikali ya Trump dhidi ya wananchi wa Iran
Oct 10, 2020 02:33Baada ya Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018, White House imewawekea wananchi wa Iran vikwazo vya kiwango cha juu na hadi hivi sasa bado viongozi wa Washington wanaendelea kuongeza vikwazo hivyo.
-
Marekani yaiwekea Iran vikwazo vingine vipya vya kibenki
Oct 08, 2020 14:23Serikali ya Marekani imeiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vipya vya kibenki ukiwa ni mwendelezo wa mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu vya Washington dhidi ya Tehran.
-
Kuthibitika kuwa uchumi wa Marekani umeingia katika mdororo mkubwa
Mar 21, 2020 06:08Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumai kutumia madai yake ya mafanikio ya kiuchumi katika kampeni zake za uchaguzi wa rais nchini humo mwaka huu wa 2020, lakini hakuwa ametabiri kuhusu kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona ambao umepelekea kuporomoka masoko ya hisa Marekani na hivyo kuingiza uchumi huo mkubwa zaidi duniani katika mdororo.
-
Benki nchini Lebanon zafunguliwa chini ya ulinzi mkali baada ya ghasia
Nov 20, 2019 02:29Kwa mara nyingine benki za Lebanon zimefunguliwa na kuanza shughuli zake chini ya ulinzi mkali wa maafisa usalama wa nchi hiyo.
-
Banki za Iran ni kati ya banki 10 bora za Kiislamu duniani
Sep 08, 2019 03:30Jarida moja maarufu la kimataifa limeorodhesha banki tatu za Iran kuwa kati ya banki 10 bora za Kiislamu duniani.
-
Waislamu Uganda kuendelea kushinikiza mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo
Jun 06, 2019 06:18Viongozi wa Kiislamu nchini Uganda wamesisitiza kuwa wataendelea kushinikiza utekelezwaji wa mfumo wa benki za Kiislamu nchini humo.
-
Tanzania yazidi kubanwa, Denmark na Benki ya Dunia zaifutia ruzuku, mikopo
Nov 15, 2018 15:26Serikali ya Denmark imefuta mpango wake wa kuipa Tanzania msaada wa dola milioni 10 za Marekani, kulalamikia kile ilichotaja kama rekodi mbaya ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo, na matamshi 'yasiyokubalika' dhidi ya mashoga.
-
Kutozingatia mashirika mawili ya kifedha ya Marekani vikwazo vya Washington dhidi ya Iran
Aug 25, 2018 13:40Gazeti la The Washington Free Beacon limeandika kuwa, mashirika mawili ya kifedha ya Kimarekani, hayafungamani na amri ya kuhitimisha miamala ya kifedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.