-
Magaidi washambulia kambi za jeshi Nigeria, Cameroon na kuua askari 16
Mar 27, 2025 11:08Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa magenge ya kigaidi wamefanya mashambulizi yaliyoratibiwa dhidi ya kambi ya jeshi la Cameroon karibu na Ziwa Chad na dhidi ya kituo cha kijeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuua takriban wanajeshi 16.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 70 wa Boko Haram
Jan 27, 2025 12:25Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema wanamgambo wasiopungua 70 wa Boko Haram waliuawa katika msururu wa operesheni za karibuni za kijeshi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Jeshi la Nigeria laua 'magaidi' 187 ndani ya wiki moja
Nov 03, 2024 06:16Zaidi ya watu 187 wanaoshukiwa kuwa magaidi wameuawa huku wengine 262 wakikamatwa katika operesheni mbalimbali za kupambana na ugaidi za jeshi la Nigeria nchini kote katika muda wa wiki moja iliyopita.
-
Boko Haram yafanya mashambulizi ya kushtukiza na kuua 26 Borno, Nigeria
Mar 10, 2023 07:16Kwa akali watu 26 wameuawa katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria kufuatia mashambulio ya kushtukiza yaliyofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram.
-
Magaidi wa Boko Haram waua raia 17 kaskazini mwa Nigeria
Dec 27, 2022 07:37Vyombo vya habari vya Nigeria vimetangaza kuwa, watu 17 wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kufuatia shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram.
-
Wapiganaji zaidi ya 40 wa Boko Haram waangamizwa Nigeria
Dec 03, 2022 06:45Mkurugenzi wa Idara ya Habari ya Wizara ya Ulinzi ya Nigeria ametangaza mapema leo Jumamosi kwamba magaidi 44 wa kundi la Boko Haram wameuawa katika operesheni za anga na nchi kavu za jeshi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Nigeria: Ulimwengu wa Kiislamu ushikamane kuangamiza fikra ya ukufurishaji
Jun 11, 2022 07:27Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa ujumla wanapaswa kuungana na kuwa kitu kimoja katika vita vya kuangamiza fikra potofu ya ukufurishaji.
-
Magaidi 800 wa Boko Haram wauawa katika eneo la Ziwa Chad
Jun 11, 2022 02:34Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni za Vikosi vya Pamoja vya Kimataifa (MNJTF) katika eneo la Ziwa Chad, magharibi mwa Afrika.
-
Wanachama 7,000 wa Boko Haram, ISWAP wajisalimisha Nigeria
Mar 24, 2022 03:31Wanachama wasiopungua 7,000 wa kundi la kigaidi la Boko Haram na wenzao wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP) wamejisalimisha kwa maafisa usalama katika kipindi cha wiki moja iliyopita kaskazini mwa Nigeria.
-
Gavana wa Borno Nigeria aonya kuhusu kundi la kigaidi la ISWAP
Feb 27, 2022 08:11Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).