-
24 wauawa katika mapigano baina ya Boko Haram na ISWAP Nigeria
Oct 04, 2021 04:12Kundi la kigaidi la Boko Haram limeua wapiganaji 24 wa kundi hasimu la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu la Mkoa wa Afrika Magharibi (The Islamic State West Africa Province) kwa kifupi ISWAP, huko kaskazini mwa Nigeria.
-
Wanachama 91 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Nigeria
Aug 01, 2021 07:51Wanachama 91 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamejisalimisha kwa jeshi la Nigeria huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wanajeshi saba wa Cameroon wauawa katika shambulio la Boko Haram
Jul 25, 2021 01:19Wanajeshi wasiopungua saba wa Cameroon wameuawa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram kushambulia kambi moja ya kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 50 wa Boko Haram
Jun 04, 2021 02:45Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuangamiza magaidi wasiopungua 50 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Kuendelea harakati za magaidi nchini Nigeria; wanafunzi 200 watekwa nyara
Jun 02, 2021 02:28Makundi ya kigaidi katika eneo la Afrika Magharibi hasa nchini Nigeria yamekithirisha vitendo vya uhalifu, na katika tukio la hivi karibuni wanafunzi karibu 200 wa shule moja ya Kiislamu wametekwa nyara kati mwa Nigeria.
-
Mkuu wa genge la Boko Haram ajipiga risasi kutaka kujiua Nigeria
May 22, 2021 06:35Serikali na jeshi la Nigeria limethibitisha habari zinasosema kuwa, Abubakar Shekau, mkuu wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram amejipiga risasi begani katika jaribio la kutaka kujiua. Hii ni katika hali ambayo vyombo vingi vya habari vimeripoti kuwa, Shekau amejiua.
-
Makumi wauawa katika hujuma za wabeba silaha Nigeria
Feb 10, 2021 23:34Makumi ya watu wameuawa katika mashambulizi kadhaa ya magenge ya wabeba silaha katika wilaya tano za eneo la kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
ISIS yadai kuhusika na kutekwa kambi ya jeshi Nigeria
Jan 17, 2021 08:00Maafisa usalama na mamia ya wakazi wa mji mmoja katika jimbo la Borno la kaskazini mwa Nigeria wamelazimika kuyakimbia makazi yao baada ya genge la magaidi waliojizatiti kwa silaha kushambulia na kudhibiti kambi ya jeshi katika eneo hilo.
-
Shambulio la bomu la Boko Haram laua askari 11 Nigeria
Dec 30, 2020 14:55Maafisa usalama 11 wakiwemo wanajeshi wanne wameuawa katika shambulio la bomu la kutegwa ardhini la kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno huko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Magaidi wa Boko Haram wateka nyara makumi ya wakata mbao Nigeria
Dec 27, 2020 15:28Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wamewateka nyara wakata mbao zaidi ya 40 na kuwaua wengine watatu katika jinai yao ya hivi karibuni.