Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la B/Haram wameuwa watu wasiopungua 10 Cameroon

    Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la B/Haram wameuwa watu wasiopungua 10 Cameroon

    Oct 30, 2017 10:27

    Washambuliaji wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram jana usiku waliwauwa wanavijiji wasiopungua kumi katika kile kilichotajwa na jeshi na maafisa wa kieneo kuwa mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya jeshi la Cameroon.

  • Jeshi la Nigeria laangamiza wanachama kadhaa wa Boko Haram

    Jeshi la Nigeria laangamiza wanachama kadhaa wa Boko Haram

    Oct 27, 2017 23:09

    Jeshi la Nigeria limewaangamiza wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni maalumu ya jeshi hilo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • Mke wa kiongozi wa Boko Haram ya Nigeria ameuawa?

    Mke wa kiongozi wa Boko Haram ya Nigeria ameuawa?

    Oct 26, 2017 04:52

    Jeshi la Nigeria linachunguza ripoti zinazoashiria kuwa mmoja wa wake wa kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, Abubakar Shekau ameuawa katika shambulizi la anga la hivi karibuni.

  • Boko Haram yaua wanajeshi sita wa Nigeria jimboni Yobe

    Boko Haram yaua wanajeshi sita wa Nigeria jimboni Yobe

    Oct 26, 2017 01:08

    Kwa akali wanajeshi sita wa Nigeria wameuwa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kushambulia kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Boko Haram washambulia msafara wa wanajeshi Nigeria

    Boko Haram washambulia msafara wa wanajeshi Nigeria

    Oct 19, 2017 10:33

    Wanajeshi watatu wa Nigeria wameuawa baada ya kushambuliwa na genge la kigaidi na la ukufurishaji la Boko Haram.

  • Chad yaondoa askari wa jeshi lake Niger katika vita dhidi ya Boko Haram

    Chad yaondoa askari wa jeshi lake Niger katika vita dhidi ya Boko Haram

    Oct 13, 2017 04:05

    Chad imeondoa mamia ya askari wake katika nchi jirani ya Niger ambako walikuwa wakitoa msaada kwa vikosi vya nchi hiyo kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.

  • Kesi ya mamia ya magaidi wa Boko Haram yaanza kusikilizwa Nigeria

    Kesi ya mamia ya magaidi wa Boko Haram yaanza kusikilizwa Nigeria

    Oct 10, 2017 04:42

    Wizara ya Sheria ya Nigeria imetangaza habari ya kuanza kusikilizwa kesi ya wanachama zaidi ya elfu mbili wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika mahakama mbalimbali za nchi hiyo.

  • Indhari ya serikali ya Niger kwa wafanyabiashara wanaoshirikiana na kundi la kigaidi la Boko Haram

    Indhari ya serikali ya Niger kwa wafanyabiashara wanaoshirikiana na kundi la kigaidi la Boko Haram

    Oct 01, 2017 10:55

    Kutokana na kuendelea mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika eneo la magharibi mwa Afrika viongozi wa serikali ya Niger wametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaoshirikiana kibiashara au kwa namna yoyote ile na kundi hilo.

  • Serikali ya Niger yawaonya wafanyabiashara wanaoshirikiana na Boko Haram

    Serikali ya Niger yawaonya wafanyabiashara wanaoshirikiana na Boko Haram

    Oct 01, 2017 00:26

    Viongozi wa Niger wamewaonya vikali wafanyabiashara ambao wanafanya biashara kwa siri na kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • UNICEF: Zaidi ya nusu ya skuli katika eneo la ngome kuu ya Boko Haram Nigeria zimefungwa

    UNICEF: Zaidi ya nusu ya skuli katika eneo la ngome kuu ya Boko Haram Nigeria zimefungwa

    Sep 29, 2017 04:07

    Huku hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria yakiingia katika mwaka wake wa tisa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetangaza kuwa zaidi ya nusu ya skuli za jimbo la Borno ambalo ni kitovu cha hujuma na mashambulio ya kundi hilo zimefungwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS