-
Watu watatu wauawa katika shambulio la magaidi wa Boko Haram nchini Nigeria
Sep 28, 2017 12:03Maafisa wa Nigeria wameripoti kuwa watu watatu wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Boko Haram 1600 kufikishwa mahakamani Oktoba, Nigeria
Sep 25, 2017 03:51Wizara ya Sheria ya Nigeria imetangaza kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wanaoshikiliwa katika korokoro za nchi hiyo watafikishwa mahakamani Oktoba mwaka huu.
-
Boko Haram yaua watu 9 katika kambi ya wakimbizi Borno, Nigeria
Sep 23, 2017 11:47Wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamewaua watu tisa waliokuwa wakiishi katika kambi ya wakimbizi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Binti wa miaka 13 aua watu 5 katika shambulio dhidi ya msikiti Cameroon
Sep 14, 2017 10:09Mshambuliaji aliyekuwa amejifunga bomu amejiripua na kuua watu wasiopungua watano katika msikiti mmoja ulioko kaskazini mwa Cameroon karibu na mpaka wa nchi hiyo na Nigeria.
-
Shambulio la Boko Haram laua watu wanane kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 08, 2017 22:52Watu wasiopungua wanane wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Utawala mbovu, chanzo cha vijana kuwa na misimamo mikali Afrika
Sep 08, 2017 02:22Vijana wa Afrika wanajiunga na makundi yenye misimamo mikali kutokana na sababu kadhaa ikiwemo kupuuzwa, kunyimwa fursa pamoja na ukosefu wa utawala bora.
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu mauaji ya watu karibu 400 yaliyofanywa na Boko Haram
Sep 05, 2017 02:37Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetangaza kuwa watu karibu 400 wameuawa katika mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuanzia mwezi Aprili mwaka huu huko Nigeria na Cameroon.
-
Boko Haram yaua raia 18 katika mpaka wa Nigeria na Cameroon
Sep 01, 2017 22:33Wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameua watu 18 katika shambulizi lililofanywa kwenye eneo la karibu na mpaka wa Nigeria na Cameroon.
-
Boko Haram waendelea kuwateka nyara raia kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 30, 2017 03:06Kundi la kigaidi la Boko Haram limeendelea kuhatarisha maisha ya raia kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya kuwateka nyara watu kadhaa wa familia moja.
-
Boko Haram waua watu wasiopungua 11 na kuteka nyara wanane kaskazini mwa Cameroon
Aug 25, 2017 23:25Wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameua watu wasiopungua 11 na kuwateka nyara wengine wanane katika shambulio walilofanya dhidi ya kijiji kimoja kaskazini mwa Cameroon karibu na mpaka wa Nigeria.