-
Wahanga wa mashambulizi ya Boko Haram waongezeka nchini Niger
Aug 24, 2017 23:51Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, tangu yalipoanza mashambulizi ya kwanza ya genge la kigaidi la Boko Haram nchini Niger mwezi Februari 2015, karibu watu 540 imma wameuawa au kujeruhiwa au kutekwa nyara na kundi hilo la wakufurishaji.
-
Jeshi la Niger lashambulia maficho ya Boko Haram; magaidi 40 wauawa
Aug 24, 2017 09:16Jeshi la Niger limeshambulia moja ya maficho ya kundi la kigaidi la Boko Haram kusini mashariki mwa nchi hiyo katika fremu ya oparesheni ya kuwaangamiza magaidi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Shambulio la kigaidi la Boko Haram laua raia wasiopungua sita kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 23, 2017 03:17Watu wasiopungua sita wameuawa katika shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
UNICEF: Mashambulio ya Boko Haram kwa kutumia watoto wanaojiripua yameongezeka mara nne
Aug 22, 2017 23:17Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa kuhudumia watoto UNICEF umetangaza kuwa idadi ya watoto wanaotumiwa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria kufanya mashambulio ya kujitoa mhanga imeongezeka mara nne mwaka huu kulinganisha na mwaka uliopita wa 2016.
-
Watu 27 wauawa katika shambulio la kigaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Aug 15, 2017 23:57Watu 27 wameuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria na wengine 83 kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotekelezwa na wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Boko Haram yaua wavuvi 31 kaskazini mwa Nigeria
Aug 08, 2017 03:19Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeua makumi ya wavuvi baada ya kuvamia visiwa viwili vya eneo la Ziwa Chad, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Zaidi ya watu 40 wauawa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigeria
Jul 27, 2017 23:35Zaidi ya watu 40 wameuawa nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
UN yaitaka serikali ya Nigeria kuwakomboa wasichana wa Chibok
Jul 24, 2017 22:29Kamati ya Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa imeitaka serikali ya Nigeria kuzidisha juhudi za kuwakomboa wanawake na wasichana wote waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram na kuhakikisha wanarudi shuleni bila ya kukabiliwa na unyanyapaa.
-
Boko Haram wafanya shambulizi jingine kusini mashariki mwa Niger
Jul 03, 2017 23:15Watu 9 wameuawa katika shambulio jipya lililofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram, kusini mashariki mwa Niger.
-
Shirika la Msalaba Mwekundu latahadharisha kuhusu hali ya Nigeria
Jun 22, 2017 03:33Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, hali ya kibinadamu nchini Nigeria inatia wasiwasi licha ya juhudi kubwa zilizofanywa na serikali ya nchi hiyo.