-
Jeshi la Mali lashambuliwa, askari watano wauawa
Jun 17, 2017 23:22Wanajeshi watano wa Mali wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa katika shambulio lilofanywa na watu wenye silaha jana Jumamosi katika kambi moja ya jeshi la Mali kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Kundi la Boko Haram latangaza kuhusika na shambulio la Maiduguri
Jun 11, 2017 09:26Kundi la kigadi la Boko Haram limetangaza kuwa, wanachama wake ndio waliohusika na shambulio la kigaidi la hivi karibuni katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Boko Haram washambulia Waislamu wakila futari Nigeria
Jun 08, 2017 03:26Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wameshambulia vijiji vilivyoko kando kando ya mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria wakati ambapo Waislamu wa mji huo walikuwa majumbani kwao wakila futari.
-
Jeshi la Nigeria laua wanachama 13 wa Boko Haram eneo la Ziwa Chad
May 21, 2017 09:09Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeendelea kupata pigo kutoka kwa askari wa jeshi la Nigeria, ambapo wanachama 13 wa genge hilo wameuawa kwenye makabaliano mapya yaliyotokea jana katika eneo la Ziwa Chad.
-
Nigeria: Hadi sasa jeshi letu limefanikiwa kuwaokoa mateka 4000 kutoka mikononi mwa Boko Haram
May 19, 2017 11:52Jeshi la serikali ya Nigeria limetangaza kuwa hadi sasa limefanikiwa kuwaokoa watu 4000 kutoka mikononi mwa wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram.
-
Watu sita wauawa katika shambulio la Boko Haram katika mji wa Maiduguri
May 15, 2017 23:23Watu wasiopungua 6 wanaripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Wasichana 82 waachiliwa huru na Boko Haram Nigeria kwa kubadilishana na wafungwa wa kundi hilo
May 06, 2017 22:41Ofisi ya Rais wa Nigeria imetangaza kuwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limewaachia huru wanafunzi wa kike 82 miongoni mwa wasichana zaidi ya 200 waliokuwa wamewateka nyara katika mji wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo wa Chibok mwaka 2014, mkabala wa kuachiwa huru wafungwa wa kundi hilo.
-
António Guterres aitaka Boko Haram ikomeshe ukiukaji wa haki za watoto
May 05, 2017 09:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelitaka kundi la kigaidi la Boko Haram la nchini Nigeria kuhitimisha ukiukaji wake wa haki za watoto.
-
Wanajeshi wa Nigeria washambulia maficho ya magaidi wa Boko Haram
May 03, 2017 10:09Ndege za kivita za Nigeria zimefanya mashambulizi katika maficho ya wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na kuua magaidi kadhaa.
-
Wanajeshi kadhaa wa Nigeria wauawa katika shambulio la wanamgambo wa Boko Haram
May 01, 2017 09:20Kundi la kigaidi la Boko Haram limefanya shambulio katika kambi moja ya jeshi la Nigeria na kuwaua wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo.