-
WHO: Boko Haram imeharibu vituo vya Afya kaskazini mwa Nigeria
Dec 16, 2016 01:19Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram limeharibu sehemu kubwa ya vituo vya afya katika eneo la kaskazini mwa Nigeria.
-
Mamia ya raia wakombolewa kutoka mikononi mwa Boko Haram, Nigeria
Dec 15, 2016 02:51Afisa wa jeshi la Nigeria amesema kuwa, zaidi ya raia 600 wakiwemo watoto 450 wa nchi hiyo wamekombolewa kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Boko Haram yaua watu zaidi ya 1500 nchini Cameroon
Dec 12, 2016 10:47Watu zaidi ya 1500 wameuawa katika mashambulizi ya wanamgambo wa kitakfiri wa Boko Haram huko Cameroon.
-
UN: Boko Haram ingali tishio licha ya kupoteza ngome zake
Dec 08, 2016 04:02Mjumbe wa Umoja wa Mataifa amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram lenye makao yake nchini Nigeria lingali tishio katika eneo la Ziwa Chad licha ya kupoteza udhibiti wa ngome zake nyingi.
-
Mashambulio ya kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mwa Cameroon
Nov 26, 2016 00:23Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeshadidisha mashambulio yake katika miezi ya karibuni nchini Cameroon ambapo kwa mujibu wa ripoti ya kundi la kimataifa la migogoro kundi hilo limeshambulia kambi tatu za jeshi la Cameroon katika maeneo ya Darak, Diguina na Kolofata nchini humo.
-
Komandi ya Ulinzi ya Nigeria: Tutang'oa mizizi yote ya kundi la Boko Haram
Nov 12, 2016 10:19Komandi ya Ulinzi ya Nigeria imesisitiza juu ya kuwa tayari nchi hiyo kuendesha mapambano na vita vyenye malengo maalum dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Sisitizo la Umoja wa Afrika la kukabiliana na kundi la Boko Haram
Nov 12, 2016 08:55Viongozi wa Umoja wa Afrika wametilia mkazo udharura wa kuendelezwa uungaji mkono na misaada kwa kikosi kinachoundwa na wanajeshi wa nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya kundi la Boko Haram.
-
Makumi ya wanachama wa Boko Haram wauawa Cameroon
Nov 12, 2016 00:37Jeshi la Cameroon limewaangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria lakadhibisha kuwasajili mamluki wa kigeni kwa ajili ya kupambana na B/Haram
Nov 11, 2016 12:06Jeshi la Nigeria limekadhibisha taarifa kuwa linawasajili mamluki kutoka nchi za nje ili kuwatumia katika mapambano dhidi ya kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
-
Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika
Nov 08, 2016 03:48Gazeti la Washington Post la Marekani limeandika makala kuhusu kuenea Uwahhabi nchini Nigeria na kuongeza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unaaunga mkono viongozi wa Mawahhabi ili waweze kueneza Uwahhabi nchini humo na kote barani Afrika.