-
Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram
Nov 06, 2016 04:12Kwa akali askari 14 wa jeshi la Nigeria wameuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Magaidi wanane wa Boko Haram wauawa Nigeria
Nov 02, 2016 10:56Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limewauwa wanachama wanane wa kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Serikali ya Nigeria yatakiwa kuongeza juhudi za kuwapokonya silaha wanamgambo
Oct 30, 2016 00:24Asasi isiyo ya kiserikali ijulikanayo kwa jina la Mercy Corps imeitaka serikali ya Nigeria kuunganisha nguvu zake na kuzitumia kwa ajili ya kuwapokonya silaha wanamgambo na kufanya juhudi za kuandaa mazingira mazuri ya kuwafanya wanamgambo hao wanaopokonywa silaha wakubalike katik ajamii.
-
Mamia ya watoto waachiwa huru kutoka korokoro za serikali, Nigeria
Oct 29, 2016 01:17Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mamia ya watoto wameachiwa huru kutoka kwenye korokoro za serikali ya Nigeria.
-
Boko Haram: Tuko tayari kuwaachia huru wanafunzi wengine 83
Oct 18, 2016 03:27Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeeleza juu ya utayarifu wake wa kuwaachia huru makumi ya wanafunzi wa kike waliowateka nyara zaidi ya miaka miwili iliyopita.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria
Oct 02, 2016 04:27Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, iwapo nchi wafadhili hazitaisadia serikali ya Nigeria katika kuishughulikia hali mbaya ya kimaisha wanayokabiliwa nayo wakazi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, basi ulimwengu utashuhudia mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu katika eneo hilo la magharibi mwa Afrika.
-
Askari wa Niger na Chad waua wanachama 123 wa Boko Haram
Oct 01, 2016 23:19Operesheni ya pamoja ya kijeshi ya Niger na Chad imepelekea kuuawa wanamgambo 123 wa kundi la Boko Haram.
-
UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria
Sep 29, 2016 10:24Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, maelfu ya watoto wadogo wapo katika hatari ya kupoteza maisha katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, kutokana na njaa na utapiamlo 'uliosababishwa' na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.
-
Vijana kadhaa wa Chad warejea nchini kutoka katika kambi za Boko Haram
Sep 29, 2016 01:09Duru za kuaminika zimearifu habari ya kurejea nchini vijana kadhaa wa Chad kutoka katika kambi za wanamgambo wa kundi la Boko Haram huko Nigeria.
-
Wanajeshi wanane wa Nigeria wauawa na wanamgambo wa Boko Haram
Sep 26, 2016 10:50Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, wanajeshi wake wanane wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia shambulio la wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.