-
Jeshi la Nigeria lawakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram
May 14, 2020 06:38Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwakomboa raia 72 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Jeshi la Chad laua wapiganaji elfu moja wa Boko Haram
Apr 10, 2020 03:25Msemaji wa jeshi la Chad ametangaza kuwa jeshi hilo limewaangamiza magaidi elfu moja wa kundi la Boko Haram huko Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Chad: Tumeshawatokomeza magaidi wote wa Boko Haram katika ardhi yetu
Apr 07, 2020 09:59Serikali ya Chad imetangaza kuwa magaidi wote wa kundi la Boko Haram wameshatokomezwa na kutimuliwa katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Wanachama 100 wa Boko Haram waangamizwa nchini Nigeria
Mar 28, 2020 07:40Serikali ya Nigeria imetangaza kuwa kwa akali wanachama 100 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni dhidi ya ugaidi iliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo.
-
Makamanda na wanachama wa Boko Haram wauawa katika hujuma za anga Nigeria
Mar 20, 2020 08:55Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imethibitisha habari za kuangamizwa makamanda wa ngazi za juu na wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Magaidi wa Boko Haram wahujumu kijiji Chad, waua watu kadhaa
Jan 12, 2020 08:22Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia kijiji magharibi mwa Chad na kuwaua wanakijiji kadhaa na kuwateka nyara wanawake.
-
Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria
Jan 07, 2020 04:36Kwa akali watu 30 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na daraja lenye shughuli nyingi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Raia wawili wauliwa kaskazini mwa Cameroon katika shambulio la kigaidi la Boko Haram
Dec 29, 2019 04:39Maafisa usalama wa Cameroon wametangaza kuwa raia wawili wameuawa katika shambulio la kigaidi la kundi la Boko Haram katika eneo la kaskazini ya mbali nchini humo.
-
Watu 15 wauawa Nigeria katika shambulizi la Boko Haram
Dec 15, 2019 04:22Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika mji wa Magumeri, mkoani Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Mamia ya waliokuwa wakituhumiwa kuwa ni wanachama wa Boko Haram nchini Nigeria waachiliwa huru
Dec 02, 2019 09:01Jeshi la Nigeria limewaachilia huru mamia ya raia wa nchi hiyo waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram.