-
Serikali ya Burkina Faso yakadhibisha kuhusu video bandia za mauaji zilizorushwa mtandaoni
Mar 24, 2025 08:01Serikali ya Burkina Faso imelaani kuenea kwa video za upotoshaji kuhusu kujiri mauaji ya umati ya kikabila nchini humo. Serikali ya Burkina Faso imesema kuwa video hizo zilizosambaa mitandaoni ni kampeni kubwa ya vyombo vya habari ya kisiasa yenye lengo la kuchafua taswira ya nchi hiyo.
-
Waislamu na Wakristo Burkina Faso wala futari pamoja kuimarisha umoja
Mar 16, 2025 11:32Mamia ya Waislamu na Wakristo huko Ouagadougou, mji mkuu wa Burkina Faso, wameshiriki pamoja dhifa ya futari katika medani ya Place De La Nation, kuadhimisha mwaka wa tatu wa utamaduni huo wa kuhamasisha mshikamano wa kijamii, wakati huu ambapo nchi hiyo inakabiliwa na ghasia za itikadi kali.
-
Ghana yakanusha kuwepo kambi ya wanamgambo wenye silaha kaskazini mwa nchi hiyo
Oct 27, 2024 07:53Serikali ya Ghana imekanusha ripoti kwamba wanamgambo wanaobeba silaha huko Burkina Faso wanatumia eneo la kaskazini mwa Ghana kama kambi yao ya kuhifadhia zana za kijeshi na suhula za matibabu ili kuendeleza uasi na hujuma zao. .
-
Shirika la MSF limesimamisha kwa muda shughuli zake katika baadhi ya maeneo ya Burkina Faso
Oct 22, 2024 15:15Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limesimamisha kwa muda shughuli zake katika jimbo la Djibo kaskazini mwa Burkina Faso kutokana na masuala ya usalama.
-
Burkina Faso yasimamisha matangazo ya VOA ya Marekani
Oct 08, 2024 12:45Serikali ya Burkina Faso imesimamisha matangazo ya shirika la utangazaji la Sauti ya Marekani (VOA) linalofadhiliwa na Washington kwa muda wa miezi mitatu kwa 'kushajiisha ugaidi.'
-
Burkina Faso: Madola ajinabi yanawazidishia matatizo kwa makusudi watu wa Sahel
Oct 01, 2024 06:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso jana alihutubia katika majadiliano ya ngazi ya juu katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York na kusema nchi yake inaendelea kupambana na makundi ya kigaidi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo yanayoyumbisha hali ya usalama nchini humo.
-
Mali, Burkina Faso, Niger zamchunguza mwanahabari wa France 24
Sep 27, 2024 03:04Waendesha mashtaka katika nchi zinazoongozwa na serikali za kijeshi za Mali, Burkina Faso na Niger wameanzisha uchunguzi dhidi ya mwandishi wa habari wa Ufaransa Wassim Nasr, wakimtuhumu kuwa "mshirika wa ugaidi" kutokana na uchambuzi wake juu ya mashambulizi ya magenge ya kigaidi.
-
HRW: Makundi yenye silaha yanatekeleza mauaji Burkina Faso
Sep 18, 2024 11:30Shirika la Human Rights Watch (HRW) limesema kuwa makundi yanayobeba silaha yene mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al Qaida na kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS) yamezidisha mashambulizi dhidi ya raia nchini Burkina Faso.
-
Niger, Mali na Burkina Faso zasaini mkataba wa kuidhinisha kujitoa ndani ya ECOWAS
Jul 07, 2024 07:34Tawala za kijeshi za Niger, Mali na Burkina Faso jana zilisaini mkataba unaoidhinisha shirikisho zilizounda kati yao na kujitoa katika jumuiya ya ECOWAS.
-
Magaidi wa JNIM: Tumehusika na shambulio lililoa askari 107 Burkina Faso
Jun 17, 2024 07:10Kundi la kigaidi la Jama’at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM) lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limetangaza kuwa wapiganaji wake ndio waliofanya shambulio la hivi karibuni lilililoua makumi ya wanajeshi wa Burkina Faso.