-
Mkapa azitaka pande husika Burundi kuheshimu mchakato wa amani
Dec 02, 2016 03:48Rais Mstaafu wa Tanzania ambaye pia ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi amezitaka pande husika katika nchi hiyo kushikamana na kuheshimu mchakato wa amani na hatua zilizopigwa za kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Maelfu waandamana Burundi wakiupinga Umoja wa Mataifa na Ubelgiji
Nov 27, 2016 04:17Maelfu ya wananchi wa Burundi wameandamana katika mji mkuu Bujumbura wakiupinga Umoja wa Mataifa pamoja na siasa za Ubelgiji za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo.
-
UN yapasisha mpango wa kuundwa kamati ya kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu Burundi
Nov 24, 2016 10:03Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimepasisha mpango wa kuundwa kamati ya uchunguzi kuhusiana na vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Burundi.
-
Waandishi wa habari watiwa nguvuni Burundi kwa kutaja majina ya watuhumiwa wa ukandamizaji
Nov 12, 2016 10:46Polisi nchini Burundi imewatia nguvuni waandishi wa habari wawili kufuatia kutangaza moja ya majina ya watu wanaodaiwa kuhusika katika vitendo vya ukandamizaji nchini humo.
-
Machafuko ya umwagaji damu yaendelea kushuhudiwa Burundi
Oct 31, 2016 04:01Machafuko na mapigano ya umwagaji damu yameendelea kushuhudiwa nchini Burundi.
-
Serikali ya Burundi yaitaarifu rasmi Mahkama ya ICC juu ya hatua yake ya kujiondoa
Oct 28, 2016 01:22Serikali ya Burundi imeitaarifu rasmi Mahakama ya Jinai ya ICC juu ya kujiondoa kwake kutoka mahakama hiyo.
-
Karenga Ramadhan ataka kulindwa waandishi habari Burundi
Oct 26, 2016 03:21Baraza la Taifa la Mawasiliano la Burundi limetaka kulindwa waandishi habari na kupewa uhuru zaidi utendaji kazi katika sekta hiyo.
-
SAUTI: Serikali ya Burundi yatangaza kuyafuta mashirika matano kwa kushindwa kuwajibika, huku ikituhumiwa kwa usiasa
Oct 24, 2016 13:37Hatua hiyo imetajwa kuwa ni baada ya mashirika hayo kuendeleza shughuli zake kwa siri na kinyume cha sharia.
-
Mwandishi wa habari Mmarekani atiwa mbaroni nchini Burundi
Oct 24, 2016 04:46Polisi nchini Burundi wamemsaili mwandishi wa habari raia wa Marekani na mtu aliyekuwa ameandamana naye kwa tuhuma ya kuharibu nyaraka zinazohusu kesi ya jinai.
-
Baraza la Usalama laelezea wasiwasi wake kwa hatua ya Burundi ya kukataa kutumwa polisi wa UN
Oct 15, 2016 00:44Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi mkubwa lilionao kutokana na hatua ya serikali ya Rais Pierre Nkurunziza ya kukataa kutumwa nchini Burundi polisi wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kwenda kusimamia amani nchini humo.