Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Bunge la Burundi lapasisha muswada wa kujiondoa mahakama ya ICC

    Bunge la Burundi lapasisha muswada wa kujiondoa mahakama ya ICC

    Oct 12, 2016 12:25

    Bunge la Burundi leo limepasisha muswada wa kujiondoa nchi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) baada ya Umoja wa Mataifa kuanza kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini humo.

  • Machafuko Burundi, kiongozi wa chama tawala auawa na watu wasiojulikana

    Machafuko Burundi, kiongozi wa chama tawala auawa na watu wasiojulikana

    Oct 11, 2016 12:39

    Mmoja wa viongozi wa chama tawala CNDD-FDD nchini Burundi ameripotiwa kuuawa katika shambulizi lililofanywa na watu wasiojulikana.

  • Mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Burundi wahajiri katika nchi jirani

    Mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Burundi wahajiri katika nchi jirani

    Sep 25, 2016 00:48

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa mamia ya maelfu ya wakimbizi wa Burundi wamehamia katika nchi jirani.

  • UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari Burundi

    UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari Burundi

    Sep 21, 2016 10:38

    Kundi la wachunguzi wa Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari yanayonukia huko Burundi na kueleza kuwa, mwenendo jumla wa kauli zenye kuleta mgawanyiko wa kikabila zinazotolewa na serikali ya nchi hiyo zinamaanisha kuwa mzozo unaweza kuenea hadi katika nchi nyingine za Kiafrika.

  • Burundi: Raia wetu waliokimbia nchi kwa machafuko wanaendelea kurudi kwa hiari

    Burundi: Raia wetu waliokimbia nchi kwa machafuko wanaendelea kurudi kwa hiari

    Sep 15, 2016 23:31

    Serikali ya Burundi imesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wakimbizi elfu 30 raia wa nchi hiyo wamerejea makwao katika kipindi cha miezi ya hivi karibuni.

  • Waziri wa masuala ya wakimbizi wa Uganda atembelea Burundi

    Waziri wa masuala ya wakimbizi wa Uganda atembelea Burundi

    Sep 14, 2016 23:58

    Waziri wa Nchi wa serikali ya Uganda katika masuala ya wakimbizi, Musa Ecweru, amefanya ziara nchini Burundi kwa lengo la kujadili masuala ya wakimbizi wa nchi hiyo.

  • SAUTI: Makaburi ya Umati yazidi kushuhudiwa Burundi

    SAUTI: Makaburi ya Umati yazidi kushuhudiwa Burundi

    Sep 08, 2016 14:02

    Miili ya watu wengi imegunduliwa katika mkoa wa Muramvya katikati mwa Burundi.

  • Chama tawala nchini Burundi chamteua Ndayishimiye kuwa mkuu mpya

    Chama tawala nchini Burundi chamteua Ndayishimiye kuwa mkuu mpya

    Aug 23, 2016 11:53

    Wajumbe wa chama tawala 'CNDD-FDD' nchini Burundi wamemchagua kwa wingi wa kura Meja Jenerali Evariste Ndayishimiye kuwa mkuu mpya wa chama hicho.

  • RSF yaitaka serikali ya Burundi kumwachilia huru mwandishi wa habari

    RSF yaitaka serikali ya Burundi kumwachilia huru mwandishi wa habari

    Aug 20, 2016 23:55

    Shirika na Madaktari Wasio na Mipaka (RSF), limetaka kuachiliwa huru mwandishi wa habari raia wa Burundi anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.

  • Bunge la Burundi lapinga azimio nambari 2303 la Baraza la Usalama la UN

    Bunge la Burundi lapinga azimio nambari 2303 la Baraza la Usalama la UN

    Aug 19, 2016 03:36

    Wabunge wa Burundi wamepinga azimio nambari 2303 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS