-
Maandamano dhidi ya Ufaransa yaongezeka nchini Burundi
Aug 18, 2016 03:13Maandamano ya kuipinga Ufaransa yanaripotiwa kuongezeka nchini Burundi.
-
Wataalamu wa UN: Utesaji na ukatili wa kingono unaongezeka Burundi
Aug 12, 2016 22:22Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametangaza kuwa utesaji dhidi ya wakosoaji wa serikali wanaowekwa kizuizini nchini Burundi unaongezeka; na vikosi vya usalama vinafanya ukatili wa kingono dhidi ya wanawake wakati wa maandamano ya upinzani na wanapofanya upekuzi.
-
EALA kusuluhisha uhasama kati ya Rwanda na Burundi
Aug 09, 2016 08:41Bunge la Afrika Mashariki EALA limesema karibuni hivi litaanza kuchunguza kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mzozo na uhasama kati ya nchi jirani za Rwanda na Burundi.
-
Polisi ya Burundi yachukua hatua kali za kuingia na kutoka katika mpaka wake na Rwanda
Aug 07, 2016 03:10Polisi ya Burundi imetangaza kuwa, imechukua hatua kali za kuingia na kutoka katika maeneo ya mipaka yake na jirani yake Rwanda.
-
Makumi ya familia za Warundi zarejea nyumbani
Aug 04, 2016 10:37Gavana wa mkoa mmoja kaskazini mashariki mwa Burundi ametangaza habari ya kurejea mamia ya familia za raia wa Burundi waliokuwa wamekimbilia nchini Tanzania.
-
Wananchi wa Burundi waendelea kufanya maandamano dhidi ya Ufaransa
Aug 01, 2016 09:13Wananchi wa Burundi wameendelea kufanya maandamano dhidi ya Ufaransa ambapo leo walikusanyika mbele ya ubalozi wa Ufaransa mjini Bujumbura.
-
Warundi waandamana mbele ya ubalozi wa Ufaransa kupinga pendekezo lake UN
Jul 30, 2016 10:48Vyombo vya habari nchini Burundi vimearifu kuwa yamefanyika maandamano hadi mbele ya ubalozi wa Ufaransa mjini Bujumbura kupinga azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililopendekezwa na serikali ya Paris.
-
UN yaafiki kutumwa askari polisi nchini Burundi
Jul 30, 2016 03:43Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha pendekezo la Ufaransa la kutumwa askari polisi zaidi ya 200 wa umoja huo nchini Burundi kwa lengo la kuhitimisha machafuko ya zaidi ya mwaka mmoja nchini humo.
-
Wafuasi wa chama tawala Burundi wakosolewa kwa kuhusika na jinai
Jul 28, 2016 00:20Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limelaani vitendo vya ukatili vinavyofanywa na baadhi ya wafuasi wa chama tawala nchini Burundi CNDD-FDD.
-
Ripoti: Uganda yaongoza kwa visa vya uhalifu Afrika Mashariki
Jul 26, 2016 12:25Utafiti mpya umefichua kuwa, Uganda ndiyo inayoongoza kwa visa vya uhalifu wa kutumia silaha za moto katika kanda ya Afrika Mashariki.