Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Kanali Baratuza: Wanajeshi wa Burundi wataendelea kuhudumu katika kikosi cha AMISOM

    Kanali Baratuza: Wanajeshi wa Burundi wataendelea kuhudumu katika kikosi cha AMISOM

    Jul 25, 2016 09:43

    Msemaji wa jeshi la Burundi amesema kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo walioko nchini Somalia wataendelea kuhudumu chini ya mwavuli wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika (AMISOM).

  • Kutokuwa na natija duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi

    Kutokuwa na natija duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi

    Jul 14, 2016 02:50

    Duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi kwa usimamizi wa Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa imeshindwa kuwa na matunda kutokana na makundi ya upinzani kulalamikia kushiriki katika mazungumzo hayo viongozi kadhaa wa serikali ya Bujumbura.

  • Waziri wa zamani wa Burundi katika EAC auawa Bujumbura

    Waziri wa zamani wa Burundi katika EAC auawa Bujumbura

    Jul 13, 2016 10:53

    Waziri wa zamani wa Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Hafsa Mossi ameuawa kwa kufyatuliwa risasi nje ya nyumba yake mjini Bujumbura.

  • Kuungwa mkono duru ya pili ya mazungumzo ya serikali ya Burundi na wapinzani

    Kuungwa mkono duru ya pili ya mazungumzo ya serikali ya Burundi na wapinzani

    Jul 10, 2016 08:04

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imesema inaunga mkono kufanyika duru ya pili ya mazungumo kati ya serikali ya Burundi na wapinzani.

  • Burundi yakanusha vikali madai ya kuwatesa wapinzani

    Burundi yakanusha vikali madai ya kuwatesa wapinzani

    Jul 10, 2016 02:57

    Serikali ya Burundi imesema kuwa, ripoti ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Huma Rights Watch kwamba, serikali ya Bujumbura imekuwa ikiwatesa wapinzani haina ukweli wowote.

  • Baribonekeza: Burundi itakabiliana na biashara ya magendo ya binadamu

    Baribonekeza: Burundi itakabiliana na biashara ya magendo ya binadamu

    Jul 08, 2016 09:08

    Mkuu wa Tume Huru ya Haki za Binadamu nchini Burundi amesema kuwa, nchi hiyo itakabiliana kwa nguvu zake zote za biashara ya magendo ya binadamu.

  • Seikali ya Burundi yatuhumiwa kuwatesa wapinzani

    Seikali ya Burundi yatuhumiwa kuwatesa wapinzani

    Jul 08, 2016 03:00

    Serikali ya Burundi kwa mara nyingine tena imetuhumiwa kwamba inawatesa wapinzani wake.

  • Azma ya serikali ya Burundi kwa ajili ya kurejesha usalama nchini humo

    Azma ya serikali ya Burundi kwa ajili ya kurejesha usalama nchini humo

    Jul 03, 2016 12:27

    Rais wa Burundi ametangaza azma ya serikali yake ya kutatua masuala kadhaa, ikiwemo kurejeshwa usalama nchini humo.

  • Rais Nkurunziza: Tunajitahidi kuimarisha usalama na amani Burundi

    Rais Nkurunziza: Tunajitahidi kuimarisha usalama na amani Burundi

    Jul 02, 2016 08:50

    Rais Pirre Nkurunziza wa Burundi amesema kuwa, serikali yake imezimia kuimarisha usalama na amani nchini humo.

  • Jumuiya za kiraia Burundi zaitaka serikali kupambana na magendo ya wanawake

    Jumuiya za kiraia Burundi zaitaka serikali kupambana na magendo ya wanawake

    Jul 02, 2016 03:33

    Jumuiya za kiraia nchini Burundi zimeitaka serikali ya nchi hiyo kukomesha magendo ya wanawake na wasichana wanaotoroshwa nchini humo na kupelekwa nchi za nje hususan Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS