Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Jumuiya za kiraia Burundi zaitaka serikali kupambana na magendo ya wanawake

    Jumuiya za kiraia Burundi zaitaka serikali kupambana na magendo ya wanawake

    Jul 02, 2016 03:33

    Jumuiya za kiraia nchini Burundi zimeitaka serikali ya nchi hiyo kukomesha magendo ya wanawake na wasichana wanaotoroshwa nchini humo na kupelekwa nchi za nje hususan Saudi Arabia.

  • Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Jun 29, 2016 22:58

    Hali ya haki za binadamu nchini Burundi imejadiliwa katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

  • AU yataka kusuluhishwa mzozo wa Burundi haraka

    AU yataka kusuluhishwa mzozo wa Burundi haraka

    Jun 28, 2016 03:04

    Umoja wa Afrika umetoa wito wa kufanyika haraka mazungumzo ya kina yatakayojumuisha pande zote husika kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi.

  • Wanaharakati wataka kukomeshwa ukiukwaji wa haki za binadamu Burundi

    Wanaharakati wataka kukomeshwa ukiukwaji wa haki za binadamu Burundi

    Jun 25, 2016 23:42

    Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu wameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ishughulikie ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi.

  • Polisi Burundi yawakamata wafanya magendo ya binadamu

    Polisi Burundi yawakamata wafanya magendo ya binadamu

    Jun 21, 2016 10:29

    Polisi ya Burundi imewatia nguvuni watu kadhaa kwa tuhuma za kushiriki katika magendo ya binadamu.

  • AU yazitolea wito pande hasimu Burundi kufanya mazungumzo

    AU yazitolea wito pande hasimu Burundi kufanya mazungumzo

    Jun 19, 2016 22:50

    Wawakilishi wa Umoja wa Afrika (AU) katika mgogoro wa kisiasa wa Burundi wamezitolea wito pande zinazozozana katika mgogoro wa nchi hiyo kutatua hitilafu zao kwa njia ya mazungumzo.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC

    Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya hali ya kiusalama DRC

    Jun 18, 2016 03:37

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, yumkini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ikatumbukia katika wimbi la ghasia za uchaguzi kama Burundi.

  • UN yaanza kufanya uchunguzi wa uvunjaji wa haki za binaadamu Burundi

    UN yaanza kufanya uchunguzi wa uvunjaji wa haki za binaadamu Burundi

    Jun 14, 2016 03:32

    Kundi moja la wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa limefanya safari nchini Burundi kwa ajili ya kufanya uchunguzi kuhusu uvunjwaji wa haki za binaadamu nchini humo.

  • Karibu robo nzima ya wananchi wa Burundi wanaishi katika mgogoro mkubwa wa chakula

    Karibu robo nzima ya wananchi wa Burundi wanaishi katika mgogoro mkubwa wa chakula

    Jun 13, 2016 11:07

    Taasisi mbalimbali za kimataifa zimetangazao kuwa, asilimia 23 ya wananchi wa Burundi wanateseka kwa lishe duni.

  • Makumi wauawa katika mapigano makali jijini Bujumbura

    Makumi wauawa katika mapigano makali jijini Bujumbura

    Jun 12, 2016 09:51

    Duru za habari nchini Burundi zimeripoti kujiri mapigano makali kati ya askari wa serikali na waasi katika maeneo kadhaa ya jiji la Bujumbura, mji mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS