Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • Sisitizo la Umoja wa Afrika la kutuma askari wa kimataifa nchini Burundi

    Sisitizo la Umoja wa Afrika la kutuma askari wa kimataifa nchini Burundi

    May 21, 2016 08:42

    Umoja wa Afrika AU umetoa ripoti maalumu kuhusiana na uvunjaji wa haki za binadamu nchini Burundi na kusisitizia nia ya umoja huo ya kutuma askari wa kimataifa wa kulinda amani nchini humo.

  • Burundi yaituhumu tena Rwanda kuwa inaharibu usalama wake

    Burundi yaituhumu tena Rwanda kuwa inaharibu usalama wake

    May 20, 2016 02:36

    Kwa mara nyingine tena serikali ya Burundi imeituhumu Rwanda kuwa inafanya njama za kuharibu utulivu nchini humo.

  • Radiamali ya serikali ya Rwanda kwa tuhuma kwamba inachochea machafuko nchini Burundi

    Radiamali ya serikali ya Rwanda kwa tuhuma kwamba inachochea machafuko nchini Burundi

    May 14, 2016 07:17

    Serikali ya Rwanda imetoa radiamali kuhusiananna tuhuma dhidi yake kwamba, imekuwa ikichochea machafuko katika nchi jirani ya burundi.

  • 21 wahukumiwa kifungo cha maisha jela Burundi kwa 'kupanga mapinduzi'

    21 wahukumiwa kifungo cha maisha jela Burundi kwa 'kupanga mapinduzi'

    May 10, 2016 02:25

    Mahakama ya Juu ya Burundi imetoa hukumu ya maisha jela kwa maafisa 21 wa jeshi la nchi hiyo, wanaodaiwa kuhusika na njama iliyofeli ya kuipindua serikali mwezi Mei mwaka jana wa 2015.

  • Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani aonyesha wasiwasi wake kuhusiana na hali ya Burundi

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani aonyesha wasiwasi wake kuhusiana na hali ya Burundi

    May 09, 2016 03:17

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameonyesha wasiwasi alionao kuhusiana na hali ya mambo nchini Burundi.

  • Polisi ya Burundi yatangaza idadi ya wahanga wa machafuko ya nchi hiyo

    Polisi ya Burundi yatangaza idadi ya wahanga wa machafuko ya nchi hiyo

    May 04, 2016 03:26

    Machafuko nchini Burundi yaliyodumu kwa mwaka mzima sasa yamepelekea watu 451 kuuawa.

  • Indhari ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kuhusiana na hali ya Burundi

    Indhari ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kuhusiana na hali ya Burundi

    May 03, 2016 08:00

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetoa ripoti na kutangaza kuwa, katika hali ambayo umepita mwaka mmoja tangu mgogoro wa Burundi ulipoibuka, hali ya mambo nchini humo ingali si shwari na kwamba, wananchi wa nchi hiyo wanaendelea kukimbilia katika nchi jirani.

  • Kikao cha Arusha kwa ajili ya amani ya Burundi chaahirishwa

    Kikao cha Arusha kwa ajili ya amani ya Burundi chaahirishwa

    May 01, 2016 23:29

    Mazungumzo ya amani ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Burundi ambayo yalitazamiwa kuanza leo Jumatatu mjini Arusha nchini Tanzania yameahirishwa.

  • Watu wenye silaha wafanya hujuma mpya jijini Bujumbura Burundi

    Watu wenye silaha wafanya hujuma mpya jijini Bujumbura Burundi

    Apr 29, 2016 11:42

    Watu wenye silaha wamefanya shambulizi huko Bujumbura, mji mkuu wa Burundi, na kuua na kujeruhi watu kadhaa.

  • Yumkini idadi ya waliouawa Burundi imepindukia 1,000

    Yumkini idadi ya waliouawa Burundi imepindukia 1,000

    Apr 28, 2016 10:46

    Umoja wa Mataifa umetaarifiwa kuwa idadi ya watu waliouawa katika mgogoro wa kisiasa nchini Burundi yumkini imepindukia watu 1,000.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS