-
ISIS yakiri kuwa kiongozi wake Abubakar al Baghdadi ameshaangamizwa
Jul 11, 2017 14:42Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limetoa taarifa na kutangaza rasmi kuwa, mkuu wa genge hilo Abubakar al Baghdadi ameshaangamizwa
-
Jeshi la Iraq linaendeleza jitihada za kuwamaliza Madaesh 100 waliosalia Mosul
Jul 06, 2017 04:06Rupoti kutoka Iraq zinasema kuwa, wapiganaji wasiozidi mia moja wa kundi la kigaidi la Daesh ndio waliobakia katika eneo la kale la Mosul.
-
Waislamu Marekani wakumbuka uhalifu wa mawahabi wa kubomoa makaburi ya Maswahaba
Jul 04, 2017 15:42Waislamu katika maeneo mbalimbali wamekusanyika wakikumbuka kitendo kiuvu cha kubomolewa makaburi ya Jannat al-Baqi'i mjini Madina kilichofanywa na mawahabi wa Saudi Arabia miongo kadhaa iliyopita.
-
ISIS yawafanya wakimbizi wakazi laki tisa wa Mosul, Iraq
Jul 03, 2017 15:16Waziri wa Uhamiaji wa Iraq amesema kuwa, uvamizi na uharibifu mkubwa uliofanywa na genge la kigaidi la Daesh ambao umelilazimisha taifa zima la Iraq kusimama na kuendesha mapambano ya kuukomboa mji wa Mosul wa kaskazini mwa nchi hiyo, umesababisha zaidi ya wakazi laki tisa wa mji huo kuwa wakimbizi.
-
Buriani dola la "khilafa" bandia la Daesh
Jun 30, 2017 08:51Televisheni ya taifa ya Iraq jana ilitangaza rasmi habari ya kukomeshwa na kuangamizwa kundi la Daesh katika mji wa Mosul nchini humo. Habari hiyo iliyokosha na kufurahisha nyoyo za Wairaq na watu wengi wapenda haki na uadilifu kote duniani ilikuwa hitimisho la dola bandia la khilafa ya mawahabi la Daesh ambalo lilianzishwa Juni 2014 kwa ushirikiano wa chama cha Baathi kilichovunjwa huko Iraq, kwa msaada wa Saudi Arabia na washirika wake.
-
Video: Daesh wasambaratishwa kikamilifu Iraq, ndoto ya ISIS yayeyuka
Jun 29, 2017 15:22Waziri Mkuu wa Iraq, Haidar al Abadi ametangaza kusambaratishwa dola la uongo la Daesh nchini humo, baada ya vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kwa kushirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi kukomboa maeneo yote ya Mosul, makao makuu ya mkoa wa Nainawa. Tangazo hilo la Waziri Mkuu wa Iraq limekuja baada ya vikosi vya nchi kuukomboa msikiti mkuu na mkongwe wa al Nuri, katikati ya mji wa Mosul.
-
Waislamu wa Kisuni wa Mosul, Iraq wawakaribisha kwa shangwe wapiganaji wa Kishia
Jun 28, 2017 18:10Furaha na shamrashamra zimeshamiri na kuwatawala wakazi wa mji wa Mosul ambao ni wa Waislamu wa Kisuni katika kuwakaribisha wapiganaji wa Kishia wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi, kufuatia ushindi mkubwa uliofikiwa hadi sasa dhidi ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mjini humo.
-
Hatimaye jeshi la Syria laingia mkoa wa Deir Ezzor baada ya miaka kadhaa
Jun 25, 2017 03:41Askari wa kikosi cha nchi kavu cha Syria wameweza kuingia mkoa wa Deir Ezzor, mashariki mwa nchi hiyo sambamba na kudhibiti maeneo yake tofauti.
-
Russia: Kuna uwezekano mkubwa kiongozi wa Daesh ameuawa
Jun 23, 2017 04:34Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, kuna uwezekano mkubwa kwamba kiongozi wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi ameangamizwa.
-
UNESCO yaalani vikali hatua ya Daesh ya kubomoa msikiti wa kihistoria wa al Nuri
Jun 23, 2017 04:34Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limelaani vikali hatua ya kundi la kigaidi la Daesh ya kubomoa Msikiti wa kihistoria wa al Nuri katika mji wa Mosul nchini Iraq.