-
UNICEF: Watoto wa Iraq wanaendelea kuteseka kwa vita
Jun 22, 2017 11:45Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kwamb, watoto takriban milioni tano nchini Iraq wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu.
-
Baada ya kuzidiwa nguvu, sasa viongozi wa Daesh wakimbia ovyo Iraq na Syria
Jun 16, 2017 23:02Kufuatia kushindwa vibaya katika medani za vita, viongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamekimbia kutoka miji ya Mosul, Iraq na pia mji wa al-Raqqa Syria.
-
Brig. Jenerali Jazayeri: Marekani, Saudia ni waongozaji wa ugaidi wa Daesh
Jun 14, 2017 00:08Msemaji wa Majeshi ya Iran amesema Marekani na Saudi Arabia ndio waongozaji na waungaji mkono wakuu wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
-
Daesh yasisitiza kuzidisha mashambulizi ya kigaidi katika pembe mbalimbali duniani
Jun 13, 2017 03:01Kundi la kigaidi la Daesh limewataka wanachama wake kuendesha mashambulizi ya kigaidi katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Iran yaangamiza magaidi wanne wa ISIS na kunasa silaha na bendera
Jun 12, 2017 21:56Maafisa wa usalama kusini mwa Iran wamefanikiwa kuwaangamzia magaidi wanne wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh sambamba na kunasa silaha walizokuwa nazo pamoja na bendera ya kundi hilo la kigaidi.
-
"Daesh na makundi mengine ya kitakfiri yameanzishwa na Marekani na Israel"
Jun 11, 2017 09:44Naibu Kamanda wa majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh na makundi mengine ya kitakfiri yameanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na yamekuwa yakitumiwa na tawala hizo kwa ajili ya kufikia malengo yao.
-
Marekani yaunga mkono waziwazi ISIS; Mbunge wa Congress asema: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran ni kwa manufaa ya Marekani
Jun 10, 2017 11:28Mbunge wa jimbo la California katika Baraza la Congress la Marekani ametoa matamshi ya kijuba na kuunga mkono waziwazi mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na genge la wakufurishaji la Daesh mjini Tehran, Iran, Jumatano asubuhi.
-
Magaidi 41 wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) watiwa mbaroni nchini Iran
Jun 09, 2017 23:32Wizara ya Usalama wa Taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu na kutangaza kuwa wanachama 41 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wametiwa mbaroni hapa nchini.
-
Mbunge Marekani: Hujuma za kigaidi Tehran ni stratejia ya Trump
Jun 09, 2017 23:05Mbunge katika chama tawala cha Republican nchini Marekani amesema hujuma za hivi karibuni za kundi la kigaidi la ISIS mjini Tehran inaweza kuwa stratijia ya Rais Donald Trump.
-
UN: Daesh imeua raia 163 waliokuwa wakikimbia Mosul, Iraq
Jun 06, 2017 23:18Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeua raia 163 waliokuwa wakiukimbia mji wa Mosul nchini Iraq ndani ya wiki moja pekee.