-
Bensouda aitaka Sudan iikabidhi ICC watuhumiwa wa jinai za Darfur
Jun 10, 2021 12:28Kwa mara nyingine tena, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amewataka maafisa wa serikali ya Sudan kuwakabidhi watuhumiwa wa jinai za kivita katika eneo la Darfur kwa mahakama hiyo, akiwemo rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar Hassan al Bashir.
-
Mshukiwa wa Sudan anayesakwa kwa jinai za Darfur afadhilisha ICC
May 05, 2021 06:18Afisa wa zamani wa serikali ya Sudan anayetuhumiwa kuhusika na jinai zilizofanyika katika eneo la Darfur amesema anafadhilisha kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC badala ya faili lake kusikilizwa nchini Sudan.
-
Khartoum yatuma zana za kijeshi katika jimbo la Darfur
Jan 31, 2021 12:18Serikali ya Sudan imesema kuwa imetuma zana za kijeshi na askari jeshi wa radiamali ya haraka katika jimbo la Darfur ya Kusini ili kudumisha amani na kuwalinda raia katika eneo hilo.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu mapigano ya Darfur chamalizika bila ya natija
Jan 23, 2021 05:02Kikao cha faragha cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoitishwa kujadili mapigano ya karibuni katika eneo la Darfur maagharibi mwa Sudan kimemalizika bila ya natija.
-
Watu wengine 32 wauawa katika mapigano ya kikabila Darfur, Sudan
Jan 17, 2021 08:02Watu wasiopungua 32 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila baina ya Waarabu na wasiokuwa Waarabu katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
ICC kuendelea kumzuilia kinara wa washukiwa wa jinai za kivita Darfur
Oct 09, 2020 02:38Majaji wa Kitengo cha Rufaa cha Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wamepasisha uamuzi wa kuendelea kumshikilia kinara wa kundi la wanamgambo wanaoshukiwa kuhusika na jinai za kivita katika eneo la Darfur nchini Sudan mwaka 2003.
-
Sudan iko tayari kushirikiana na ICC kuhusu jinai za kivita Darfur
Aug 23, 2020 07:56Serikali ya Sudan imesema iko tayari kushirikiana na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ili kuhakikisha kuwa washukiwa wa jinai za kivita katika eneo la Darfur wanafikishwa mbele ya korti hiyo yenye makao yake mjini Hague nchini Uholanzi.
-
Watu 60 wauawa Darfur, Sudan, waziri mkuu atuma wanajeshi
Jul 27, 2020 07:52Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 60 wameuawa katika mapigano mapya ambayo yamejiri katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Maelfu waandamana Darfur Sudan kulalamikia ukosefu wa usalama
Jul 09, 2020 07:46Maelfu ya wakazi wa jimbo la Darfur huko Sudan wameandamana wakilalamikia kuongezeka ukosefu wa usalama na amani.
-
'Ugonjwa usiojulikana' waua makumi Darfur, Sudan
Jun 13, 2020 12:39Maafisa wa afya nchini Sudan wameeleza wasiwasi mkubwa walionao kutokana na ongezeko la vifo 'visivyo vya kawaida' katika kambi za wakimbizi katika eneo la Darfur.