-
Serikali ya Sudan na wapinzani wa Darfur wakubaliana kuwakabidhi watenda jinai kwa mahakama ya ICC
Feb 12, 2020 02:58Serikali ya Sudan na viongozi wa makundi ya upinzani katika eneo la Darfur wamefikia makubaliano ya kuwakabidhi watenda jinai za kivita katika eneo hilo lililoko magharibi mwa Sudan kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) akiwemo rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.
-
Ndege ya kijeshi yaanguka Darfur, Sudan na kuua watu 18
Jan 03, 2020 12:29Watu 18 wameaga dunia baada ya ndege ya kijeshi kuanguka katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Watu 36 wauawa katika mapigao ya kikabila Darfur, Sudan
Jan 01, 2020 08:12Kwa akali watu 36 wameuawa katika mapigano ya kikabila yanayoendelea kushuhudiwa katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.
-
Ripoti: Wasudani hawaridhishwi na hukumu iliyotolewa dhidi ya Omar al Bashir
Dec 15, 2019 13:27Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wananchi wa Sudan hawakuridhishwa na hukumu ya kifungo cha miaka miwili katika kituo cha marekebisho ya kitabia iliyotolewa dhidi ya kiongozi aliyeondolewa madarakani wa nchi hiyo, Omar al Bashir, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma na ufisadi.
-
Baraza la Usalama la UN laafiki kurefushwa muda wa kuhudumu UNAMID katika eneo la Darfur, Sudan
Nov 01, 2019 07:19Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeafiki kurefushwa muda wa kuhudumu kikosi cha pamoja cha askari wa kulinda amani wa umoja huo na wale wa Umoja wa Afrika kinachojulikana kama UNAMID katika eneo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
UN: Idadi ya waliouawa Darfur nchini Sudan ni watu 17
Jun 14, 2019 02:28Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa kwa akali watu 17 wameuawa katika kijiji cha Deleij katikati mwa jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Mauaji Sudan yanaendelea, 11 wauawa 20 wajeruhiwa Darfur
Jun 13, 2019 02:23Kamati Kuu ya Madaktari wa Sudan imetangaza habari ya kuuawa watu 11 na kujeruhiwa wengine 20 katika machafuko yaliyotokea kwenye eneo la al Dalij la jimbo la Darfur, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Uchaguzi DRC: Felix Tshisekedi arejea ili kuanza kampeni zake za uchaguzi
Nov 28, 2018 04:38Kiongozi wa chama kikongwe zaidi cha upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amerejea nchini humo kwa ajili ya kuanza kampeni za kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwezi ujao.
-
Baraza la Usalama laongeza muda wa kuhudumu kikosi cha UNAMID huko Darfur Sudan
Jul 14, 2018 13:40Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeongeza muda wa kuhudumu kikosi cha pamoja cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika UNAMID katika jimbo la Darfur la magharibi mwa Sudan.
-
Indhari kuhusu uingiliaji wa utawala haramu wa Kizayuni eneo la Darfur, Sudan
Jun 18, 2018 02:32Chama cha Kongresi ya Kitaifa nchini Sudan kimetahadharisha kuhusiana na uingiliaji wa utawala haramu wa Israel eneo la Darfur huko Sudan kwa lengo la kuibua machafuko nchini humo.