-
Waislamu Marekani waanzisha kampeni dhidi ya Trump
Jul 21, 2016 01:51Waislamu wa Marekani wameanzisha "Harakati ya Kura Milioni Moja" kwa shabaha ya kukabiliana na misimamo inayopiga vita Uislamu ya mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump.
-
Donald Trump asifu jinai za dikteta Saddam Hussein
Jul 06, 2016 23:52Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amesifia jinai zilizofanywa na dikteta wa zamani wa zamani wa Iraq Saddam Hussein na kudai kuwa, kiongozi huyo aliweza kukabiliana vyema na magaidi.
-
Ripoti ya Congress ya Marekani Kuhusu Tukio la Benghazi, Libya
Jun 30, 2016 02:50Baada ya kukamilika mchakato wa vyama viwili vikuu vya Marekani vya Democrat na Republican kuwateua wagombe wao ambao watawania kiti cha urais yaani Hilary Clinton na Donald Trump kwa utaratibu, pande mbili sasa zimeanza kuchafuana katika kampeni.
-
Hillary Clinton aunga mkono makubaliano ya nyuklia, amkosoa Trump
Jun 03, 2016 02:53Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats, Hillary Clinton ameunga mkono makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya madola makubwa ya dunia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Trump ajikosha, asaka kura za Waislamu wa Marekani kwa udi na uvumba
May 23, 2016 02:57Donald Trump, anayewania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani na ambaye ni maarufu kwa maneno ya chuki dhidi ya Waislamu, hivi sasa anaonekana kuhaha kutafuta kura za Waislamu.
-
Trump: Wakimbizi wa Syria wanapanga shambulizi kama la Septemba 11
May 16, 2016 02:24Donald Trump, mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani kwa mara nyingine tena ametoa matamshi yanayodhihirisha misimamo yake ya chuki na ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na wageni. Trump amedai kuwa wakimbizi wa Syria nchini Marekani wanapanga njama ya kufanya shambulizi la kigaidi kama la Septemba 11.
-
Obama: Mienendo na rekodi ya Trump ichunguzwe
May 07, 2016 02:56Rais Barack Obama wa Marekani ametoa wito wa kutathminiwa na kuchunguzwa mienendo ya sasa na ya huko nyuma ya Donald Trump, mwanasiasa anayetaka kuchaguliwa kuwania urais nchini humo kupitia chama cha Republican.
-
Trump: Israel iendeleze ujenzi wa vitongoji Palestina
May 04, 2016 09:56Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republican anayewania kuteuliwa kugombea urais nchini Marekani kupitia chama hicho ameutaka utawala haramu wa Israel uendeleze ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Donald Trump: Siasa za kigeni za Marekani ni msiba
Apr 28, 2016 02:51Donald Trump, mgombea wa nafasi ya urais wa chama cha Republican nchini Marekani amezitaja siasa za kigeni za nchi hiyo kuwa ni msiba mkubwa na zilizokosa mwelekeo au mwanga wa stratijia.
-
Matamshi ya Trump kuhusu uavyaji mimba wazua utata Marekani
Mar 31, 2016 23:56Matamshi ya mgombea anayeoongoza wa chama cha Republican katika mashindano ya kuwania kiti cha rais wa Marekani kuhusiana na uavyaji mimba yamezua mjadala na utata nchini humo. Akizungumza hivi karibuni na televisheni ya MSNBC Donald Trump amesema kuwa wanawake wanaoavya mimba kinyume cha sheria za nchi hiyo wanapasa kuadhibiwa.