-
Waziri Mkuu mpya wa Greenland amwambia Trump: Greenland haiuzwi
Apr 29, 2025 02:43Waziri Mkuu mpya wa Greenland amesisitiza kuwa Greenland haiuzwi. Jens Frederik Nielsen ameeleza haya akimhutubu Rais wa Marekani ambaye ametaka eneo hilo kuunganishwa na Marekani.
-
Trump, Rais wa Marekani anayechukiwa zaidi katika miaka 70 iliyopita
Apr 29, 2025 02:16Donald Trump, rais wa Marekani, alirejea kwa mara ya pili Ikulu ya White House akiwa na kiwango cha juu zaidi cha umaarufu tangu kuanza safari yake ya kisiasa. Hata hivyo, utafiti mpya wa mtandao wa habari wa Marekani, CNN, unaonyesha kuwa umaarufu wa Trump umeshuka hadi kiwango cha chini kabisa karibu na siku ya 100 ya kurejea kwake madarakani.
-
OIC yalaani hatua ya Marekani dhidi ya shirika la UNRWA
Apr 27, 2025 12:11Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani wa kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina (UNRWA).
-
Indhari na hatua mpya kuhusu vita vya ushuru vya Trump
Apr 27, 2025 02:26Indhari na radiamali mpya zimetolewa ndani ya Marekani na kimataifa kutokana na kuendelea vita vya ushuru vya Rais Donald Trump na madai yake katika uwanja huo.
-
Trump: Ukraine ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha mzozo na Russia
Apr 26, 2025 05:36Rais wa Marekani, amedai kuwa maneno yake kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine kwa siku moja yalitiwa chumvi, na kusema kuwa Kiev ndiyo ya kulaumiwa kwa kuanzisha vita na Russia.
-
Kukiri kufeli operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Yemen
Apr 26, 2025 02:39Wiki kadhaa zimepita tangu Marekani ilipoanzisha operesheni kubwa na tata za kijeshi dhidi ya Yemen, huku kukiwa na mashambulizi ya mara kwa mara na mengi ya anga katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo, lakini hivi sasa vyombo vya habari vya Marekani vimekiri kushindwa utawala wa Trump katika operesheni zake za kujeshi huko Yemen.
-
Jeshi la Msumbiji: Uasi katika mkoa wenye utajiri wa gesi wa Cabo Delgado umemalizika
Apr 25, 2025 06:42Jeshi la Msumbiji limetangaza kuwa limedhibiti kambi za mwisho za mafunzo zilizokuwa zikitumiwa na waasi katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado, ikiwa ni ishara ya kile wanachokitaja maafisa wa jeshi hilo kuwa ni kumalizika kwa uasi wa miaka mingi katika eneo hilo lenye utajiri wa maliasili ya gesi.
-
Chuo Kikuu cha Harvard chafungua mashtaka dhidi ya utawala wa Trump
Apr 22, 2025 07:09Chuo Kikuu cha Harvard kimefungua mashtaka dhidi ya serikali ya Marekani kikitaka kumzuia Rais Donald Trump asisimamishe mabilioni ya dola ya bajeti ya Serikali ya Federali kwa chuo hicho na kulinda uhuru wake.
-
Indhari ya WHO kuhusu kushtadi migogoro ya kibinadamu kufuatia kusimamishwa misaada ya Marekani
Apr 22, 2025 02:33Afisa mmoja wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Jumapili Aprili 20 alitahadharisha kuwa kupungua misaada ya nje ya Marekani kunaweza kuzidisha ugumu na kutatiza pakubwa migogoro ya kibinadamu kote ulimwenguni.
-
Lissu athibitishwa kushikiliwa kwenye gereza la Ukonga chini ya ulinzi mkali
Apr 19, 2025 14:32Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema viongozi wake wamekutana na viongozi wa Jeshi la Magereza na kufahamishwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu amehamishiwa Gereza la Ukonga.