-
Mwaka wa tatu wa Marekani kujitoa katika mapatano ya JCPOA, juhudi nyingi zisizo na maana
May 10, 2021 01:34Miaka mitatu iliyopita, Mei 8 2018, Donald Trump rais wa zamani wa Marekani aliiondoa rasmi nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA, kwa madai kwamba yalikuwa mapatano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Tahadhari ya Mwanasheria Mkuu wa Marekani Kuhusu ugaidi wa ndani ya nchi hiyo
May 06, 2021 10:14Mwanasheria mkuu wa Marekani Merrick Garland ametahadharisha kuhusu hatari inayoibuka kwa kasi ya ugaidi wa ndani ya nchi na amelitaka bunge la nchi hiyo, Kongresi, kutenga fedha zaidi kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu kadhia hiyo na pia kwa ajili ya kuwasaka na kuwafikisha kizimbani magaidi wa ndani ya nchi.
-
Kushindwa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Mar 18, 2021 02:46Baada ya serikali ya Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani kutangaza kujitoa rasmi katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA mnao Mei 2018, serikali hiyo ilianza kutekeleza vikwazo vikali zaidi katika historia ya nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika fremu ya mchakato wa kile kilichotajwa kuwa mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya nchi hii.
-
Marekani na miundombinu yake iliyoatilika kwa ndani na kupenda kwake vita duniani
Mar 06, 2021 02:54Baada ya kipindi cha vita baridi lakini zaidi baada ya mashambulio ya Septemba 11, 2001, Marekani imeshadirisha siasa zake za kupenda vita na kuzusha machafuko duniani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Hadi hivi sasa imeshatumia mamia ya mabilioni ya dola katika jambo hilo. Hiyo ni katika hali ambayo, wataalamu wa ndani ya Marekani wanakiri kwamba miundombinu muhimu ya nchi hiyo iko katika hali mahututi.
-
Newsweek: Marekani yumkini ikawa kituo kikuu cha kueneza fikra za kibaguzi
Mar 04, 2021 04:16Jarida la kila wiki la Newsweek la Marekkani limeandika kuwa, waitifaki wa serikali ya Washington wana wasiwasi kwamba yumkini fikra na mitazamo ya mirengo yenye misimamo mikali ya kulia ikasambaa pia katika nchi hizo kutoka Marekani.
-
Trump azungumza kwa mara ya kwanza ya vyombo vya habari baada ya kuondoka White House, asema Biden ana matatizo ya kiakili
Feb 18, 2021 07:59Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amevishambulia vikali vyombo vya habari katika mazungumzo yake ya kwanza na vyombo vya habari baada ya kuondoka White House akimtuhumu rais wa sasa wa nchi hiyo, Joe Biden kuwa ana matatizo ya kiakili.
-
Hofu ya kushadidi matatizo ya kiuchumi na kijamii nchini Marekani
Feb 16, 2021 02:39Katika miaka ya hivi karibuni, hali ya kiafya na tiba nchini Marekani daima imekuwa ikizorota na kuvurugika zaidi.
-
Ripoti: Trump alikuwa na mpango wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Bashar Assad
Feb 15, 2021 10:55Naibu mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani amefichua kuwa, rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump alikuwa na mpango wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Rais Bashar Assad wa Syria.
-
Pelosi: Warepublican waliomuondoa Trump hatiani ni waoga
Feb 14, 2021 07:50Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani amewakosoa vikali Maseneta wa chama cha Republican waliopiga kura kumuondoa hatiani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Ripoti: Sera mbovu za Trump ziliua maelfu ya Wamarekani
Feb 11, 2021 12:34Sera mbovu na ghalati za utawala uliopita wa Donald Trump nchini Marekani zilipelekea mamia ya maelfu ya Wamarekani kupoteza maisha.