-
Kujiuzulu mawakili wa Trump kabla hajasailiwa bungeni
Jan 31, 2021 07:29Mawakili kadhaa wa timu inayomtetea Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wamejiuzulu kutoka timu hiyo ikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya kusailiwa rais huyo wa zamani katika bunge la Seneti.
-
Canada yataka genge la Trump litambuliwe kuwa kundi la kigaidi
Jan 26, 2021 11:55Bunge la Canada limeitaka serikali ya nchi hiyo liliweke rasmi genge la wanamgambo waliojizatiti kwa silaha na wafuasi sugu wa aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump katika orodha ya magenge ya kigaidi kama vile al-Qaeda na ISIS (Daesh).
-
Seneta wa Republican mwenye ushawishi mkubwa: Marais wastaafu Wademocrat pia watakuja kusailiwa
Jan 24, 2021 13:48Mmoja wa Maseneta wa chama cha Republican wenye ushawishi mkubwa nchini Marekjani ameonya kuwa, "marais waliopita Wademocrat" pia wataweza kuja kusailiwa iikiwa Baraza la Seneti litaendelea na mpango wake wa kumsaili aliyekuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump.
-
Trump azidi kuandamwa na majanga, sasa BankUnited imemfungia hesabu zake zote
Jan 22, 2021 11:52BankUnited ya Florida huko Marekani imekata ushirikiano wake wote na rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump hatua ambayo inaonekana imetokana na magenge yake kuvamia Baraza la Congress Januari 6, 2021.
-
Zarif: Trump ametupwa katika jaa la taka za historia, jina la Soleimani litang’ara
Jan 21, 2021 04:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema rais aliyeondoka Marekani wa Marekani ametupwa katika jaa la taka za historia.
-
Bolton: Mikono ya Trump imejaa damu
Jan 17, 2021 07:23Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani amesema kuwa mikono ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo imejaa damu ya watu wasio na hatia
-
Utawala wa Trump waendelea kutekeleza siasa zilizofeli dhidi ya Iran
Jan 17, 2021 06:18Ikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kumalizika rasmi utawala wa Rais Donald Trump nchini Marekani, utawala huo umeamua kuongeza mashinikizo ya juu zaidi na vikwazo dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran.
-
Trump; maafa na msiba kwa haki za binadamu
Jan 16, 2021 03:41Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake wenye utata mwingi nchini Marekani, Rais Donald Trump ameacha nyuma historia nyeusi kuhusu suala zima la haki za binadamu, huku akilaumiwa na kukosolewa vikali katika siku za mwisho za utawala wake.
-
Muswada wa kumzuia Trump kuingia Congress maisha yake yote
Jan 15, 2021 14:19Mbunge wa chama cha Democrat wa jimbo la Georgia amewasilisha bungeni muswada ambao iwapo itapitishwa utamzuia Rais Donald Trump wa Marekani kuweka mguu wake katika Congress ya nchi hiyo.
-
Asilimia 80 ya Wamarekani wanaamini nchi yao inasambaratika
Jan 15, 2021 04:36Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa, karibu asilimia 80 ya Wamarekani wote wanaamini kuwa nchi yao inaelekea kusambaratika.