-
Erakat: Palestina imekuwa mhanga wa malengo ya uchaguzi ya Donald Trump
Sep 05, 2020 03:31Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesema kuwa Palestina imekuwa mhanga wa malengo ya uchaguzi wa Rais ya Donald Trump huko Marekani.
-
Vikwazo vya Marekani dhidi ya maafisa wa ngazi za juu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai
Sep 03, 2020 22:18Katika kipindi cha utawala wa Donald Trump nchini Marekani serikali ya Washington imechukua msimamo hasi na wa kihasama dhidi ya taasisi na jumuiya za kimataifa.
-
Trump azusha kioja kipya kwa kutaka Wamarekani wapige kura mara mbili
Sep 03, 2020 03:37Rais wa Marekani ametoa matamshi ya kushangaza kwa kutaka wananchi wapige kura mara mbili katika uchaguzi wa urais ili kuufanyia majaribio mfumo wa upigaji kura kwa njia ya posta.
-
Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington
Sep 01, 2020 22:12Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kuibuka na kuenea makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la kigaidi la Daesh tangu kuanza mgogoro nchini Syria mwaka 2011.
-
Congress: Trump ndiye sababu ya kuongezeka machafuko nchini Marekani
Aug 31, 2020 22:02Mkuu wa Kamati ya Kutoa Taarifa ya Baraza la Congress la Marekani amemlaumu vikali rais wa nchi hiyo Donald Trump na kusema kuwa, vitendo vya kichochezi vya rais huyo ndiyo sababu ya kuzuka na kuongezeka machafuko nchini Marekani.
-
Msimamo wa kukinzana wa Marekani kuhusu mgogoro wa nyuklia wa Korea
Aug 28, 2020 05:42Takriban ni miongo 7 sasa ambapo Marekani ina wanajeshi wake katika Rasi ya Korea. Licha ya kufanyika mazungumzo mara kadhaa baina ya viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kuhusu kupokonywa silaha za nyuklia Pyongyang lakini mgogoro wa Korea mbili bado uko vile vile. Si hayo tu lakini rais wa Marekani, Donald Trump hivi sasa anataka kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Korea Kusini, suala ambalo limezusha mzozo mpya.
-
Harris: Sera za Trump dhidi ya Iran zimeifanya Marekani itengwe zaidi
Aug 27, 2020 21:53Makamu wa Joe Biden, mgombea wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu nchini Marekani amesema sera za Rais Donald Trump dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeifanya nchi hiyo itengwe zaidi wakati huu kuliko wakati wowote ule.
-
Trump aendelea kumdhihaki Biden, sasa ataka apimwe madawa ya kulevya
Aug 27, 2020 06:51Rais wa Marekani ameendelea kumkejeli mshindani wake mkuu wa chama cha Democrat katika uchaguzi ujao wa rais kwa kutaka afanyiwe vipimo vya madawa ya kulevya kabla ya kufanyika midahalo baina yao ya kampeni za uchaguzi.
-
Kamala Haris akubali rasmi pendekezo la chama cha Democrat kuwa Makamu wa Joe Biden
Aug 20, 2020 19:36Seneta Kamala Haris wa jimbo la California nchini Marekani amekubali rasmi kuwa Makamu wa Joe Biden mgombea wa chama cha Democrat katika uchaguzi wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu. Bi Kamala amekubali pendekezo hilo katika siku ya tatu ya mkutano wa taifa wa chama cha Democratic.
-
Kitabu cha "Ghadhabu" kufichua barua 25 za binafsi alizoandikiana Trump na Kim
Aug 13, 2020 09:26Mwandishi mashuhuri wa habari wa Kimarekani Bob Woodward atazitoa hadharani barua 25 za binafsi ambazo rais wa nchi hiyo Donald Trump ameandikiana na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.