-
Iran ni ya kwanza kwa maendeleo ya kielimu katika ulimwengu wa Kiislamu
Feb 13, 2017 23:46Mashirika ya kimataifa ya viwango ya ISI na Scopus yamesema katika ripoti zao kwamba Iran inashikilia nafasi ya kwanza ya maendeleo ya sayansi na teknolojia katika eneo la Mashariki ya Kati na ulimwengu wa Kiislamu.
-
Nusu ya utajiri wa dunia uko mikononi mwa watu 8
Jan 18, 2017 00:38Nusu ya utajiri wote duniani uko mikononi mwa matajiri wanane tu ambapo mmiliki wa shirika la Microsoft, Bill Gates anaongoza orodha ya matajiri hao. Vilevile ripoti zinasema ufa baina ya watu tajiri na masikini unazidi kupanuka.
-
Viongozi mbali mbali duniani waomboleza kifo cha Ayatullah Rafsanjani
Jan 10, 2017 04:50Huku shughuli za kumzika Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu hapa nchini, Ayatullah Akbar Hashemi Rafsanjani zikiendelea, shakhsia na viongozi mbali mbali wameendelea kutoa salamu zao za rambirambi kufuatia kifo cha mwanachuoni huyo.
-
Rais Rouhani: NAM inaweza kutatua matatizo ya dunia
Sep 17, 2016 23:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo ushirikiano zaidi baina ya nchi wananchama wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM.
-
"Bila kudhibitiwa Uwahabi, ugaidi hautokuwa na mwisho duniani"
Jul 28, 2016 23:47Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Iraq amesema, bila kudhibitiwa Uwahabi, ugaidi hautotokomezwa duniani.
-
UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la HIV
Jul 13, 2016 10:50Idara ya Kupambana na Virusi vya HIV ya Umoja wa Mataifa (UNAIDS) imetahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi hivyo kote duniani baada ya kuripotiwa habari za kuongezeka kesi za mambuzi ya virusi hivyo hatari.
-
Mchezo mwingine wa kucheza na roho za watu haufai...
Jul 02, 2016 05:27Rubani wa ndege hii, bila ya kujali idadi kubwa ya roho za watu zilizoko kwenye dhima yake, alifanya mchezo huu wakati akirusha ndege. Michezo ya namna hii haifai...
-
Kuongezeka malalamiko ya kimataifa dhidi ya Israel
May 31, 2016 22:41Taasisi 16 za kimataifa kote ulimwenguni zimeandika barua zikilaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumpiga marufuku ya kusafiri, Omar Barghouthi, mwasisi wa Harakati ya Kimataifa ya Kuisusia Israel BDS.
-
Je simba kweli ni mfalme wa mwituni?
Apr 30, 2016 04:35Imezoeleka kusikika watu wakimpandisha daraja ya juu simba na kufikia hadi ya kumwita ni mfalme wa mwituni, lakini video hii angalau itatilia shaka madai hayo na kukufanya ujiulize, hivi ni kweli simba ni mfalme wa mwituni.
-
Nyani walivyomuokoa swala na kifo
Apr 30, 2016 03:13Dunia ya wanyama ni ya sheria za msituni, mwenye nguvu kumla mwenzake, lakini baadhi ya wakati hutokezea matukio ambayo huwaokoa wanyonge kutoka katika tundu ya sindano kama alivyookoka swala huyu