-
Umoja wa Mataifa: Hali ya kibinadamu Tigray Ethiopia imezidi kuwa mbaya
Feb 08, 2021 22:59Umoja wa Mataifa umetangaza tena kuwa, hali ya kibinadamu katika jimbo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia imezidi kuwa mbaya na kwamba, kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kushughulikia hali hiyo.
-
UN: Hali ya Tigray nchini Ethiopia inatia wasi wasi mkubwa
Feb 05, 2021 09:54Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, hali ya kibinadamu katika eneo la Tigray huko kaskazini mwa Ethiopia ni ya kutisha mno.
-
Sharti la Ethiopia kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Sudan
Jan 28, 2021 22:38Ethiopia imetangaza kuwa Sudan inapasa kuondoa wanajeshi wake katika maeneo yenye hitilafu baina ya Addis Ababa na Khartoum ili kufanya mazungumzo nayo.
-
Ethiopia yapokea vizuri juhudi za kupunguza ugomvi kati yake na Sudan
Jan 22, 2021 00:26Wizara ya Mambo ya Nje ya ya Ethiopia imetangaza kuwa Addis Ababa inakaribisha na imepokea vizuri juhudi za kupunguza ugomvi na wasiwasi kati yake na jirani yake Sudan.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia aionya Sudan, asema Addis Ababa si dhaifu
Jan 19, 2021 05:53Waziri Mkuu wa Ethiopia ameionya Sudan na kusisitiza kwamba msimamo wa Addis Ababa mbele ya Khartoum si ishara ya udhaifu.
-
Vikosi vya Ethiopia vyasambazwa katika maeneo ya mipaka ya pamoja na Sudan
Jan 18, 2021 04:32Waziri wa Ulinzi wa Sudan ametangaza kuwa wanajeshi wa Ethiopia wamejiweka tayari katika mipaka ya pamoja na Sudan ili kukabiliana na wanajeshi wa nchi hiyo.
-
Sudan yamshukuru Salva Kiir kwa kujitolea kuipatanisha na Ethiopia
Jan 16, 2021 22:51Waziri Mkuu wa Sudan amemshukuru Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini kwa kujitolea kuwa mpatanishi kati ya nchi yake na Ethiopia.
-
Marufuku ya kupaa katika anga ya Qadarif nchini Sudan
Jan 15, 2021 03:35Maafisa wa Sudan wameanza kutekeleza sheria ya kuzuia ndege kupaa kwa masafa yaliyoainishwa katika anga ya mkoa wa Qadarif.
-
Jeshi la Ethiopia lamuua waziri wa zamani wa mambo ya nje
Jan 14, 2021 10:00Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa , jeshi lake limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama cha Tigray People’s Liberation Front (TPLF).
-
Wanamgambo wa Ethiopia waishambulia Sudan; watu kadhaa wauawa
Jan 12, 2021 10:13Raia kadhaa wameuawa na wengine hawajulikani walipo kufuatia shambulizi lililofanywa na wanamgambo wa Kiethiopia huko Sudan.