-
UN: Kuna hatari ya kuenea Corona Tigray, Ethiopia kutokana na mapigano
Jan 08, 2021 08:26Kuvurugika kwa hatua za usimamizi na udhibiti wa maambukizi ya virusi vya Corona au COVID-19 katika eneo la Tigray kaskazini mwa Ethiopia kutokana na mapigano, kunaweza kuchochea maambukizi makubwa ya virusi hivyo katika jamii.
-
Wakimbizi kutoka Ethiopia waendelea kumiminika Sudan
Jan 06, 2021 04:50Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR linaendelea kuandikisha wakimbizi wapya katika mpaka wa Sudan na Ethiopia ambapo takriban wakimbizi 800 wamevuka kutoka eneo la Tigray nchini Ethiopia na kuingia mashariki mwa Sudan katika siku chache za mwaka huu wa 2021.
-
Waliofariki katika shambulio la watu wenye silaha magharibi ya Ethiopia wafika 207
Dec 26, 2020 23:27Tume ya Haki za Binadamu ya Ethiopia imetangaza kuwa shambulio lililofanywa na watu wenye silaha magharibi mwa nchi hiyo limesababisha watu 207 kuuawa.
-
Jeshi la Ethiopia lalipiza kisasi, laua wabeba silaha 42 mpakani na Sudan
Dec 25, 2020 09:45Watu 42 waliokuwa wamebeba silaha wameuawa na wanajeshi wa Ethiopia katika eneo la Benishangul-Gumuz, magharibi mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika, mpakani na Sudan.
-
Zaidi ya watu 100 wauawa katika mapigano Ethiopia
Dec 23, 2020 23:59Watu zaidi ya 100 wameuawa katika hujuma iliyotekelezwa na watu wasiojulikana huko Ethiopia katika eneo la Benishangul-Gumuz.
-
Sudan imeyadhibiti maeneo yote ya mpaka wa pamoja na Ethiopia
Dec 22, 2020 03:48Jeshi la Sudan kwa mara nyingine tena limeyadhibiti maeneo yote ya mpaka wa pamoja na Ethiopia; ambayo miaka 25 iliyopita yalikuwa yakishikiliwa na makundi ya wanamgambo yanayoungwa mkono na Ethiopia.
-
Mripuko wa bomu waua na kujeruhi kadhaa nchini Ethiopia
Dec 21, 2020 04:52Kwa akali watu watatu wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa baada ya bomu 'lililotelekezwa' kuripuka katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.
-
Sudan: Jeshi la Ethiopia limeua askari wetu mpakani
Dec 17, 2020 04:05Jeshi la Sudan limesema askari wake kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na wanajeshi wa Ethiopia wakishirikiana na wanamgambo katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Askari wa Ethiopia waua waasi 370 eneo la Oromia
Dec 11, 2020 03:38Vikosi vya usalama nchini Ethiopia vimewaua waasi 370 katika oparesheni kali iliyofanyika katika mkoa wa Oromia, katikati ya nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia atembelea Kenya
Dec 09, 2020 08:42Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed leo ametembelea Kenya na kujiunga na Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo katika ufunguzi wa kituo kipya cha mpakani cha Moyale katika Kaunti ya Marsabit.