Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  •  Watu milioni 7.8 Ethiopia wanahitaji misaada ya kibinadamu

    Watu milioni 7.8 Ethiopia wanahitaji misaada ya kibinadamu

    Oct 24, 2019 00:49

    Takriban watu milioni 7.8 nchini Ethiopia wameendelea kuhitaji misaada ya kibinadamu katika muda uliobaki wa mwaka huu.

  • Abiy Ahmed: Ethiopia iko tayari kuendesha uchaguzi 2020

    Abiy Ahmed: Ethiopia iko tayari kuendesha uchaguzi 2020

    Oct 23, 2019 04:23

    Waziri Mkuu wa Ethiopia jana alisema kuwa nchi hiyo itakabiliwa na matatizo iwapo itachelewesha uchaguzi mkuu kinyume na ilivyopangwa. Uchaguzi mkuu nchini Ethiopia umepangwa kufanyika mwezi ujao wa Mei.

  • Abiy Ahmed: Tukilazimika tutaingia vitani na Misri kwa ajili ya bwawa la El Nahdha

    Abiy Ahmed: Tukilazimika tutaingia vitani na Misri kwa ajili ya bwawa la El Nahdha

    Oct 22, 2019 23:16

    Waziri Mkuu wa Ethiopia ametahadharisha kuwa, nchi hiyo itakusanya mamilioni ya wapiganaji iwapo italazimika kingia vitani na Misri katika mzozo wa ujenzi wa bwawa la El Nahdha juu ya maji ya Mto Nile.

  • Maporomoko ya ardhi yaua watu 22 kusini mwa Ethiopia

    Maporomoko ya ardhi yaua watu 22 kusini mwa Ethiopia

    Oct 16, 2019 04:06

    Maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa yameuwa watu 22 kusini mwa Ethiopia.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia atunukiwa zawadi ya mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel 2019

    Waziri Mkuu wa Ethiopia atunukiwa zawadi ya mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel 2019

    Oct 11, 2019 12:07

    Waziri Mkuu wa Ethiopia ametunukiwa zawadi ya mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka 2019 kutokana na juhudi zake za kuhitimisha vita kati ya nchi na Eritrea.

  • Misri: Mazungumzo yetu na Ethiopia kuhusu bwawa la al-Nahdhah yamevunjika

    Misri: Mazungumzo yetu na Ethiopia kuhusu bwawa la al-Nahdhah yamevunjika

    Oct 06, 2019 04:43

    Serikali ya Misri imesema mazungumzo mapya kati ya nchi hiyo na Ethiopia kuhusu bwawa la al-Nahdhah linalojengwa na Addis Ababa yamegonga mwamba.

  • Watu 22 wauawa katika mapigano Amhara, Ethiopia

    Watu 22 wauawa katika mapigano Amhara, Ethiopia

    Oct 04, 2019 10:35

    Mapigano baina ya askari wa serikali ya kieneo na kabila la wachache yamepelekea watu wasiopungua 22 kuuawa katika eneo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia katika kipindi cha siku tano zilizopita.

  • Wanachama wa al-Shabaab wakamatwa wakipanga mashambulizi Ethiopia

    Wanachama wa al-Shabaab wakamatwa wakipanga mashambulizi Ethiopia

    Sep 22, 2019 04:15

    Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wakila njama za kutekeleza mashambulizi katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Ugonjwa wa Chikungunya waenea Ethiopia, watu  15,000  waambukizwa

    Ugonjwa wa Chikungunya waenea Ethiopia, watu 15,000 waambukizwa

    Aug 30, 2019 03:30

    Zaidi ya watu 15,192 wameambukizwa Chikungunya baada ya ugonjwa huu kuibuka katika mji wa mashariki wa Ethiopia Dire Dawa.

  • Bunge la Ethiopia lapasisha sheria mpya ya uchaguzi

    Bunge la Ethiopia lapasisha sheria mpya ya uchaguzi

    Aug 24, 2019 22:06

    Wabunge wa Ethiopia, jana Jumamosi, Agosti 24, 2019 walipasisha sheria mpya ya uchaguzi katika kipindi hiki ambacho uchaguzi mkuu nchini humo unatarajiwa sana kufanyika mwakani, 2020.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS