-
Wapinzani Sudan wakubali kwa masharti Ethiopia kuwa mpatanishi
Jun 08, 2019 02:12Muungano wa upinzani nchini Sudan umeafiki kuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed awe mpatanishi baina yao na Baraza la Mpito la Kijeshi ili kutatua mgogoro mkubwa wa kisiasa unaotokota nchini humo.
-
Ethiopia yawakamata watu 62 waliohusika na mapigano ya kikabila, wakimbizi warejea
May 10, 2019 03:27Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwakamata watu 62 ambao walihusika katika kuchochea mapigano ya kikabila hivi karibuni nchini humo.
-
"Wafanyakazi wa viwanda vya nguo Ethiopia ndio wenye mshahara mdogo zaidi duniani"
May 07, 2019 03:16Ripoti mpya imefichua kuwa, wafanyakazi wa viwanda vya ufumaji nguo nchini Ethiopia ndio wanaolipwa mshahara mdogo zaidi duniani.
-
WHO: Wakimbizi wa ndani Ethiopia wanakaribia milioni 1
Apr 09, 2019 21:55Shirika la Afya Duniani, WHO limepeleka wahudumu wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kukabiliana na mahitaji ya wakimbizi wa ndani walio katika eneo la Gedeo na magharibi mwa eneo la Guji katika ukanda wa Oromia na maeneo ya kusini nchini Ethiopia.
-
Wachimba migodi 5 wauawa katika eneo la Oromia, Ethiopia
Mar 19, 2019 23:03Watu waliobeba silaha wameshambulia timbo (mgodi) na kuua wachimba migodi watano katika eneo la Oromia magharibi mwa Ethiopia.
-
Taarifa za visanduku vyeusi: Ajali ya ndege ya Ethiopia 'inafanana' na ya Lion Air ya Indonesia
Mar 18, 2019 03:44Taarifa za awali zilizopatikana kwenye vinasa taarifa na sauti vya ndege ya Ethiopia iliyoanguka siku kadhaa zilizopita zinaonyesha kuwa, kuna "mshabihiano wa wazi" kati ya ajali ya ndege hiyo na ile ya shirika la ndege la Indonesia la Lion Air iliyotokea mwezi Oktoba mwaka jana.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Ethiopia kufuatia ajali ya ndege
Mar 10, 2019 10:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma salamu za rambirambi na kutoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Ethiopia khususan familia za wale wote waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Ethiopia iliyoanguka muda mfupi baada ya kuruka.
-
Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157 walioaga dunia katika ajali ya ndege Ethiopia + Sauti
Mar 10, 2019 13:11Raia 32 wa Kenya ni miongoni mwa abiria 149 na wahudumu wanane, waliofariki dunia kwenye ajali ya ndege iliyotokea mapema leo nchini Ethiopia.
-
Ethiopia yatumia diplomasia kuzipatanisha Kenya na Somalia
Mar 06, 2019 23:24Upatanishi wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed katika mgogoro wa mpaka wa baharini kati ya Kenya na Somalia umezaa matunda kwa kiasi fulani, baada ya nchi mbili hizo jirani kuafikiana kupunguza taharuki iliyopo kati yao.
-
Viongozi wa Afrika wakamilisha mkutano wao Addis Ababa
Feb 12, 2019 04:27Mkutano wa 32 viongozi wa nchi za Afrika ulimaliza kazi zake alasiri ya jana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.