-
Walinda amani watatu wafariki dunia katika ajali ya helikopta nchini Sudan
Feb 10, 2019 04:06Umoja wa Mataifa umesema kuwa, walinda usalama watatu wamepoteza maisha baada ya helikopta ya kijeshi ya Ethiopia kupata ajali ndani ya kituo cha askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa (UNISFA), kwenye eneo lenye mzozo la Abyei katika mpaka wa Sudan na Sudan Kusini.
-
Shambulizi la kigaidi laua askari kadhaa wa Ethiopia nchini Somalia
Feb 02, 2019 21:57Mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa garini umeua watu kadhaa wakiwemo wanajeshi wa Ethiopia huko kusini mwa Somalia.
-
Wayahudi wenye asili ya Ethiopia waandamana Tel Aviv kupinga ukatili wa polisi wa Kizayuni
Jan 31, 2019 11:20Maelfu ya Wayahudi wenye asili ya Ethiopia yaani Mafalasha wamefanya maandamano huko Tel Aviv kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa polisi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Foreign Policy: Waziri Mkuu wa Ethiopia ni mwanafikra wa kimataifa
Jan 26, 2019 04:44Jarida la Foreign Policy limemtaja Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia kuwa mwanafikra wa kimataifa kutokana na jitihada zake za kitaifa na kieneo ndani ya miezi 12 iliyopita.
-
Ethiopia yawaachia huru maelfu ya wafungwa wa kisiasa
Jan 23, 2019 04:20Serikali ya Ethiopia imewaachia huru wafungwa wa kisiasa zaidi ya 13 elfu katika kipindi cha miezi sita iliyopita.
-
Ethiopia yawakamata wapiganaji 800 wa Oromia wakiwa na silaha
Jan 18, 2019 04:51Serikali ya Ethiopia imesema katika wiki za hivi karibuni imewakamata waasi 835 wenye silaha wakati hali ya wasiwasi ikiendelea kuongezeka kwenye maeneo mbalimbali ya jimbo la Oromia.
-
Ghasia zaibuka Ethiopia kufuatia kuongezeka mapigano ya kikabila
Jan 15, 2019 04:45Ghasia zimeshika kasi nchini Ethiopia kufuatia kuongezeka mapigano ya kikabila katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wahajiri 14 wa Ethiopia waaga dunia katika mazingira ya kutatanisha Tanzania
Jan 01, 2019 04:42Polisi ya Tanzania imetangaza habari ya kuaga dunia wahamiaji 14 waliothibitishwa kuwa raia wa Ethiopia mkoani Morogoro, mashariki mwa Tanzania.
-
Baraza la Dini Ethiopia lakutana na viongozi wa OLF
Dec 27, 2018 23:32Baraza la Dini la Ethiopia pamoja na makundi ya wazee jana Alkhamisi yalikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa kundi la wabeba silaha la Harakati ya Ukombozi ya Oromo (OLF).
-
Ethiopia yawakamata waliohusika na mauaji ya mafisa wa serikali
Dec 25, 2018 04:36Ethiopia imewakamata watu 15 wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya viongozi wa serikali za mitaa. Taarifa iliyotolewa na idara ya mawasiliano ya jimbo la Oromia inasema watu hao 15 wanashukiwa kuwaua maofisa wa serikali wa jimbo hili, na kuwalenga maofisa wa usalama.