-
Indhari ya WFP na FAO kuhusu baa la njaa katika nchi kadhaa duniani
Nov 07, 2020 04:03Mashirika ya Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) yametahadharisha kuhusu njaa katika maeneo kadhaa duniani.
-
FAO: Kenya imechukua hatua muafaka kuangamiza nzige
Jul 29, 2020 03:06Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO linasema Kenya imepiga hatua kubwa katika kudhibiti nzige wa jangwani ambao walivamia eneo la Afrika Mashariki mapema na kwingineko mwezi February na kusababisha uharibifu mkubwa wa mazao.
-
Waafrika milioni 239 wanakabiliwa na njaa, utapiamlo
Feb 09, 2020 08:44Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO Marina Helena Semedo amesema watu takriban milioni 239 wa Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tatizo la njaa na utapiamlo.
-
FAO: Bei ya chakula duniani imepanda kuanzia mwezi Novemba
Dec 06, 2019 23:17Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa bei ya chakula duniani imepanda ndani ya mwezi uliopita wa Novemba.
-
Shirika la FAO lasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Nov 28, 2019 07:02Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesisitizia azma yake ya kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano kati yake na Iran.
-
FAO: Idadi ya nchi zinazohitajia misaada ya chakula duniani imeongezeka
Jul 06, 2019 03:48Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza katika ripoti yake kwamba, idadi ya nchi zinazohitajia misaada ya chakula duniani imeongezeka.
-
FAO: Dagaa ni muhimu katika kumaliza njaa Afrika
Jun 26, 2019 21:54Shirika la Chakula na Kilimo Duniani, FAO limesema utafiti mpya umebaini umuhimu mkubwa wa samaki wadogo kama vile dagaa katika kumaliza tatizo la njaa na kuinua kipato kwa wakazi wa bara la Afrika.
-
FAO: Watu milioni 820 duniani wanakabiliwa na uhaba wa chakula na lishe duni
Nov 29, 2018 04:15Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuhusiana na uhaba wa chakula pamoja na lishe duni katika maeneo mbalimbali ulimwenguni.
-
Watoto milioni 108 duniani wanashiriki kazi zinazohatarisha afya na usalama wao
Jun 12, 2018 22:11Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani limesema baaada ya miaka mingi ya kupungua, sasa ajira ya watoto katika kilimo imeanza kuongezeka tena ikichochewa na migogoro na majanga yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.
-
FAO yasema vyama vya ushirika vinaweza kuimarisha kilimo Afrika
Jun 02, 2018 09:15Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa FAO linasema sekta ya ukulima Afrika inaweza kustawishwa zaidi iwapo mkulima wa kijijni naye atajengewa uwezo kupitia vyama vya ushirika.