-
Padri raia wa Marekani apandishwa kizimbani Uturuki kwa tuhuma za ugaidi
Apr 16, 2018 09:49Padri mmoja raia wa Marekani amepandishwa kizimbani nchini Uturuki kwa kujihusisha na harakati za kigaidi ndani ya taifa hilo.
-
Baada ya kufurushwa magaidi, wakimbizi 59 elfu warejea makwao Ghouta Mashariki nchini Syria
Apr 16, 2018 03:33Kituo cha Russia cha kusimamia mapatano nchini Syria kimesema kuwa, zaidi ya watu 59 elfu wamerejea katika maeneo yao huko Ghouta Mashariki baada ya kutimuliwa magaidi katika eneo hilo.
-
Gazeti la Haaretz la Kizayuni laitaja Israel kuwa ndio gaidi na sio vijana wa Palestina
Apr 09, 2018 22:19Gazeti mashuhuri la utawala haramu wa Kizayuni la Haaretz, sambamba na kukosoa siasa mbovu za Tel Abviv dhidi ya raia wa Palestina limeandika kuwa, Israel ndio gaidi na sio vijana wa Kipalestina.
-
Karibu matukio 1,000 ya hujuma dhidi ya Waislamu yameorodheshwa Ujerumani mwaka 2017
Mar 03, 2018 04:26Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imetangaza kuwa matukio yasiyopungua 950 ya hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu na taasisi za Kiislamu yaliorodheshwa nchini humo mwaka uliopita wa 2017.
-
Kamanda wa al-Qaeda Maghreb auawa nchini Tunisia
Jan 21, 2018 04:09Maafisa usalama nchini Tunisia wamefanikiwa kumuangamiza kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la al-Qaeda katika eneo la magharibi mwa Afrika AQIM.
-
Magaidi kadhaa waangamizwa al Arish, Misri
Jan 08, 2018 12:12Duru za kiusalama za Misri zimetangaza habari ya kuuawa magaidi kadhaa katika opereseheni iliyofanywa na jeshi la nchi hiyo mashariki mwa mji wa al Arish, makao makuu wa jimbo la Sinai Kaskazini.
-
Watetezi wa haki za binadamu Misri walaani kunyongwa washukiwa wa ugaidi
Dec 28, 2017 04:20Mashirika saba ya kutetea haki za binadamu nchini Misri yamekosoa vikali hatua ya Misri kuwanyonga watu 15 waliopatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.
-
Putini afichua ushirikiano wa Marekani na magaidi huko Syria
Dec 16, 2017 00:15Rais wa Russia amefichua kuwa wanajeshi wa Marekani walioko nchini Syria walikuwa wakiwaunga mkono na kuwapatia silaha magaidi na ndio waliokuwa wakikwamisha kusambaratishwa magaidi hao.
-
Zarif: Ni maskhara kuona Saudi Arabia ikiituhumu Iran kuwa inasababisha machafuko
Nov 19, 2017 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ni maskhara kwa Saudia Arabia kuituhumu Iran kuwa inasababisha machafuko katika hali ambayo nchi hiyo ndiyo inayowachochea magaidi na iliyoanzisha vita huko Yemen.
-
Magaidi wawili watiwa mbaroni kaskazini mwa Morocco
Nov 11, 2017 03:53Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco imetangaza habari ya kutiwa mbaroni magaidi wawili kaskazini mwa nchi hiyo.