Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Gambia

  • Gambia kuunda tume ya ukweli na maridhiano

    Gambia kuunda tume ya ukweli na maridhiano

    Mar 24, 2017 04:31

    Serikali ya Gambia imetangaza kuwa itaunda tume ya ukweli na maridhiano na kuwalipa fidia waathirika wa jinai zilizofanywa na serikali ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh inayotuhumiwa kuwatesa na kuwaua watu walioshukiwa kuwa wapinzani wa serikali hiyo.

  • Wanajeshi waliopanga mapinduzi dhidi ya Jammeh wajiunga na jeshi la Gambia

    Wanajeshi waliopanga mapinduzi dhidi ya Jammeh wajiunga na jeshi la Gambia

    Mar 05, 2017 16:27

    Rais Adama Barrow wa Gambia amekubali kujiunga na jeshi wanajeshi wa zamani waliotuhumiwa kupanga mapinduzi dhidi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh.

  • Rais wa Gambia arejea Senegal, afanya mazunguzo na Macky Sall

    Rais wa Gambia arejea Senegal, afanya mazunguzo na Macky Sall

    Mar 03, 2017 06:35

    Rais Adama Barrow wa Senegal yuko nchini Senegal katika ziara rasmi ya kikazi iliyoanza jana Alkhamisi.

  • UN: Tutashirikiana na Gambia kuwashughulikia waliotenda jinai enzi za utawala wa Jammeh

    UN: Tutashirikiana na Gambia kuwashughulikia waliotenda jinai enzi za utawala wa Jammeh

    Mar 02, 2017 07:52

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, uko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Gambia katika masuala ya kimahakama na haki za binadamu.

  • Rais Barrow amfuta kazi mkuu wa jeshi Gambia na makanda 10

    Rais Barrow amfuta kazi mkuu wa jeshi Gambia na makanda 10

    Feb 28, 2017 07:24

    Rais Adama Barrow wa Gambia amempiga kalamu nyekundu Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo, Jenerali Ousman Badjie, pamoja na makamanda wengine 10 wa ngazi za juu wa vikosi vya usalama nchini humo.

  • Usafishaji idara ya usalama nchini Gambia, hatua ya kwanza ya Rais Adama Barrow

    Usafishaji idara ya usalama nchini Gambia, hatua ya kwanza ya Rais Adama Barrow

    Feb 23, 2017 03:04

    Sambamba na kuanza rasmi kazi yake, Rais mpya wa Gambia ametekeleza hatua muhimu katika kuimarisha usalama wa nchi hiyo.

  • Maelfu ya Wagambia wajitokeza kwa wingi kumuunga mkono Rais Barrow

    Maelfu ya Wagambia wajitokeza kwa wingi kumuunga mkono Rais Barrow

    Feb 19, 2017 02:42

    Maelfu ya raia wa Gambia wamejitokeza kwa wingi katika kongamano kubwa lililofanyika jana katika mji mkuu wa nchi hiyo Banjul katika kumuunga mkono Rais Adama Barrow wa nchi hiyo.

  • Gambia yatengua uamuzi wa kujiondoa mahakama ya ICC

    Gambia yatengua uamuzi wa kujiondoa mahakama ya ICC

    Feb 15, 2017 03:34

    Gambia imetengua uamuzi wa kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • EU: Tutaipatia Gambia msaada wa Euro milioni 75 ili kujidhaminia chakula

    EU: Tutaipatia Gambia msaada wa Euro milioni 75 ili kujidhaminia chakula

    Feb 10, 2017 04:26

    Neven Mimica, Kamishna wa Ushirikiano na Ustawi wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo utaisaidia serikali ya Gambia msaada wa kiasi cha Euro milioni 75.

  • Barrow: Vikosi vya kieneo kusalia Gambia kwa miezi mitatu zaidi

    Barrow: Vikosi vya kieneo kusalia Gambia kwa miezi mitatu zaidi

    Feb 09, 2017 07:23

    Vikosi vya kieneo vya mgharibi mwa Afrika vilivyotumwa nchini Gambia kuhakikisha usalama katika mchakato wa kushika madaraka serikali mpya ya nchi hiyo, vitasalia nchini humo kwa muda wa miezi mitatu zaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS