Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Gambia

  • Wanajeshi wa Nigeria waliotumwa Gambia kurejea nyumbani karibuni

    Wanajeshi wa Nigeria waliotumwa Gambia kurejea nyumbani karibuni

    Feb 03, 2017 07:38

    Askari wa jeshi la Nigeria waliokuwa wametumwa nchini Gambia ili kuhakikisha usalama katika mchakato wa kushika madaraka serikali mpya ya nchi hiyo wanatazamiwa kurejea nchini mwao hivi karibuni.

  • Rais Barrow arejea Gambia, ataka kikosi cha kieneo kibakie nchini miezi 6

    Rais Barrow arejea Gambia, ataka kikosi cha kieneo kibakie nchini miezi 6

    Jan 26, 2017 14:08

    Rais mpya wa Gambia Adama Barrow amerejea nchini kwake leo Alkhamisi akitokea nchi jirani ya Senegal, ambayo alilazimika kuigeuza kimbilio lake tangu Januari 15, akihofia usalama wake.

  • Equatorial Guinea yaafiki kumpa hifadhi Yahya Jammeh

    Equatorial Guinea yaafiki kumpa hifadhi Yahya Jammeh

    Jan 25, 2017 14:55

    Viongozi wa Equatoria Guinea wametangaza kuwa wamekubali kumpa hifadhi Rais wa zamani wa Gambia.

  • Rais mpya wa Gambia atoa amri ya kuchunguzwa faili la wizi dhidi ya Jammeh

    Rais mpya wa Gambia atoa amri ya kuchunguzwa faili la wizi dhidi ya Jammeh

    Jan 25, 2017 02:59

    Rais mpya wa Gambia ametoa amri ya kufuatiliwa na kufunguliwa faili dhidi ya rais aliyeondoka madaraka wa nchi hiyo, Yahya Jammeh kwa kosa la kutoroka na fedha za umma.

  • Rais Barrow atangaza makamu wake mwanamke akiwa Senegal

    Rais Barrow atangaza makamu wake mwanamke akiwa Senegal

    Jan 24, 2017 06:34

    Rais mpya wa Gambia Adama Barrow amemteua kiongozi wa wanawake wa muungano wa upinzani uliomsaidia kuingia madarakani, kuwa makamu wake.

  • Barrow: Askari wa ECOWAS kuendelea kusimamia amani Gambia

    Barrow: Askari wa ECOWAS kuendelea kusimamia amani Gambia

    Jan 23, 2017 14:54

    Rais mpya wa Gambia, Adama Barrow amewataka askari wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Magharibi mwa Afrika ECOWAS, kusalia nchini humo kwa lengo la kusimamia usalama na amani.

  • Fahamu maslahi ya Senegal katika kufanikisha mabadiliko ya uongozi nchini Gambia

    Fahamu maslahi ya Senegal katika kufanikisha mabadiliko ya uongozi nchini Gambia

    Jan 23, 2017 09:13

    Sambamba na Senegal kutatua mgogoro wa kisiasa nchini Gambia na kufanikisha mabadiliko ya uongozi nchini humo, lakini inaonekana kuwa katika kufanya hivyo serikali ya Dakar pia ilikuwa ikizingatia maslahi yake katika uwanja huo.

  •  Jammeh wa Gambia hakupewa kinga ya kutoshtakiwa

    Jammeh wa Gambia hakupewa kinga ya kutoshtakiwa

    Jan 23, 2017 08:29

    Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi hawakuafiki kupewa kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa rais wa Gambia Yahya Jammeh wakati wa mazungumzo ya kumshawishi mtawala huyo wa miaka mingi kwenda uhamishoni baada ya kushindwa katika uchaguzi.

  • Taasisi za kimataifa zatangaza kuwa tayari kuwasaidia wakimbizi wa Gambia

    Taasisi za kimataifa zatangaza kuwa tayari kuwasaidia wakimbizi wa Gambia

    Jan 21, 2017 13:49

    Mashirika ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu yameelekeza nguvu zao kwenye kuwasaidia wakimbizi wa Gambia ambao katika wiki za hivi karibuni wamekimbilia nchi jirani kuokoa maisha yao.

  • Gambia yasubiri rais mpya kuiongoza nchi

    Gambia yasubiri rais mpya kuiongoza nchi

    Jan 21, 2017 13:23

    Hatimaye baada ya nchi kadhaa za magharibi mwa Afrika kutuma wanajeshi wake huko Gambia, Yahya Jammeh ametangaza kuondoka madarakani katika fursa ya mwisho.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS