-
Wanajeshi wa Kizayuni waangamizwa Gaza na wanamuqawama wa HAMAS
Oct 14, 2024 08:07Wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa na kujeruhiwa na Mujahidina wa Brigedi za Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Israel yateketeza mahema kwenye Hospitali ya Ghaza na kuwachoma moto Wapalestina wakiwa hai
Oct 14, 2024 02:42Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi katika eneo la kati la Ukanda wa Ghaza na kusababisha moto mkubwa uliopelekea kuuawa shahidi Wapalestina waliokuwa wametafuta hifadhi kwenye eneo hilo kutokana na hilaki ya vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala huo ghasibu.
-
HAMAS yatoa shukrani kwa matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi katika Swala ya Ijumaa
Oct 05, 2024 09:00Mjumbe mmoja wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameshukuru matamshi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika khutba ya Sala ya Ijumaa kwa kutaja oparesheni za makombora za Iran dhidi ya utawala huo katili wa Kizayuni kuwa ni za kihistoria.
-
Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 01, 2024 07:50Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
HAMAS: Tumeangamiza idadi kubwa ya askari wa Israel Gaza
Sep 30, 2024 23:49Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza habari ya kuangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Kuuawa makamanda wa Hizbullah hakuifanyi Israeli kuwa salama zaidi
Sep 28, 2024 22:47Kufuatia mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Beirut, Hamas imeonya kuwa, hatua hizo hazitaifanya Israel kuwa sehemu salama zaidi.
-
HAMAS yapongeza shambulio la kombora la Yemen dhidi ya Israel
Sep 17, 2024 04:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS amepongeza na kusifu hatua ya jeshi la Yemen ya kushambulia eneo la jeshi la Israel huko Tel Aviv kwa kombora jipya la balistiki la hypersonic.
-
HAMAS yataka kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa Palestina
Sep 16, 2024 08:32Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa wito wa kuundwa kwa serikali ya "muafaka wa kitaifa" kwa ajili ya kusimamia masuala ya Wapalestina.
-
Israel yaunda kikosi maalumu cha kumuua kigaidi Yahya Sinwar
Sep 15, 2024 04:01Shirika la kijasusi la ndani la Israel Shin Bet (Shabak) limeunda kitengo maalumu cha kumuua kigaidi Yahya Sinwar, Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS.
-
Hamas yapinga makubaliano yanayotambua rasmi uwepo wa Israel huko Ghaza
Sep 06, 2024 03:56Mkuu wa timu ya mazungumzo ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo ya muqawama haitaafiki makubaliano ambayo yanahalalisha uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.