-
Hillary Clinton: Uchaguzi wa Marekani unatawaliwa na mfumo dume
Dec 19, 2018 02:49Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton ameushambulia mfumo wa uchaguzi wa nchi hiyo akiutaja kuwa unatawaliwa na mfumo dume.
-
Hillary Clinton awataka wananchi wa Marekani wakabiliane na siasa za udikteta za Donald Trump
Sep 19, 2018 14:31Hillary Clinton, Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametahadharisha kwamba, endapo Rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump ataachwa afanye atakacho na kutokuweko uangalizi na usimamizi juu yake, basi nchi hiyo ijiandae kukabiliwa na matokeo hasi na mabaya.
-
Clinton: Trump ameifanya Marekani ionekane nchi ya kijinga kuhusu Iran
Oct 17, 2017 04:23Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton amesema hatua ya Rais Donald Trump ya kuvuruga mapatano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 ni jambo ambalo limeifanya Marekani ionekane kuwa nchi duni na ya kijinga.
-
Hillary Clinton: Hotuba ya Trump dhidi ya Iran imeidhalilisha Marekani na kuondoa itibari yake
Oct 15, 2017 02:55Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton amesema matamshi aliyotoa rais wa nchi hiyo dhidi ya Iran yameidhalilisha Marekani na kuondoa itibari yake.
-
Clinton: Trump ni mtu mchafu, mpapasaji wanawake
Aug 24, 2017 13:57Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton aliyechuana na Donald Trump katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani amesema katika kitabu chake kitakachochapishwa siku chachde zijazo kuhusu matukio ya kampeni za uchaguzi huo kwamba Trump ni mtu mchafu na muovu.
-
Wamarekani milioni 4.7 wawataka wajumbe wa majimbo watengue kura walizompa Trump
Dec 03, 2016 04:24Wamarekani wapatao milioni nne na laki saba wamesaini kupitia mtandao wa intaneti ujumbe wa ombi kwa wajumbe wa majimbo (Electoral College) la kuwataka watengue kura walizompigia rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump na kumuunga mkono mgombea aliyeshindwa wa chama cha Democrat, Hillary Clinton.
-
Mamillioni ya Wamarekani wanyimwa haki ya kupiga kura
Nov 09, 2016 08:14Huku matokeo yasiyo rasmi ya uchaguzi wa rais Marekani yakionyesha kuwa Donald Trump wa chama cha Republican amepata ushindi dhidi ya mshindani wake wa chama cha Democrat Hillary Clinton, imebainika kuwa idadi kubwa ya Wamarekani wamenyimwa haki yao ya kupiga kura.
-
Wamarekani wenye hasira waandamana kuwapinga Clinton, Trump
Nov 06, 2016 15:37Wananchi wenye hasira wa Marekani wamefanya maandamano katika mitaa ya Washington DC kuwapinga wagombea wawili wa uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Bennett: Clinton na mumewe wametajirika kwa pesa za Saudia
Nov 03, 2016 03:53Ofisa wa zamani wa jeshi la Marekani na mchambuzi wa siasa amesema mgombea wa urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat Hillary Clinton na mumewe wake Bill Clinton wamechuma utajiri wao kutokana na kuiuzia Saudi Arabia ushawishi wa serikali ya Washington.
-
Mdahalo wa mwisho wa Trump na Clinton, mbio za uchaguzi wa rais Marekani
Oct 21, 2016 02:32Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa televisheni wa wagombea uchaguzi wa rais Marekani kwa mara nyingine tena umegubikwa na utata huku mada kuu zikiwa ni kufichuliwa nyaraka za WikiLeaks zinazomhusu mgombea wa chama cha Democrat Hillary Clinton, wahamiaji, sera za kigeni na kashfa za kimaadli za Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican.