-
Hizbulllah: Njia pekee ya kuisambaratisha mipango ya Marekani ni muqawanma
Mar 16, 2019 15:02Sheikh Ali Damush, mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, njia pekee ya kusambaratisha mipango ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati ni kuendeleza muqawama.
-
Marekani yakasirishwa na misimamo ya serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono Hizbullah
Mar 11, 2019 02:39Duru za kidiplomasia zimearifu kuwa Marekani imekasirishwa na hairidhishwi na misimamo ya viongozi wa serikali ya Lebanon ya kuiunga mkono harakati ya muqawama ya nchi hiyo Hizbullah.
-
Saudia yapongeza kuwekwa Hizbullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Mar 05, 2019 14:37Saudi Arabia imeunga mkono na kupongeza hatua ya hivi karibuni ya Uingereza, ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon katika jalada lake la makundi ya kigaidi.
-
Qassemi: Iran haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani na nje
Mar 04, 2019 14:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haikubali masharti na haiwaombi wengine ruhusa kuhusu masuala yake ya ndani ya nje.
-
Mogherini: EU haitatilia maanani uamuzi wa Uingereza dhidi ya Hizbullah
Feb 27, 2019 02:51Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesema umoja huo hautatilia maanani hatua ya Uingereza kuiwekea vikwazo Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington
Dec 23, 2018 01:09Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.
-
Hizbullah: Israel itajuta iwapo itaivamia tena Lebanon
Dec 02, 2018 03:41Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeonesha mkanda wa video ikiutahadharisha utawala haramu wa Israel kwamba, utajuta iwapo utaivamia ardhi ya Lebanon.
-
Sheikh Naim Qassem: Marekani haiwezi kurejesha tena ushawishi wake Mashariki ya Kati
Nov 30, 2018 15:10Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ndoto za Marekani za kutaka kurejesha tena nguvu na ushawishi wake katika eneo la Mashariki ya Kati zitaambulia patupu.
-
Jeshi la Israel: Kuuawa Nasrullah kutatoa pigo kubwa kwa Hizbullah
Nov 27, 2018 07:42Kamanda wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa mwito wa kuuawa Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah akisisitiza kuwa, kuuawa kwake kutatoa pigo kubwa kwa harakati hiyo ya muqawama.
-
Lebanon yapinga matamshi ya kichochezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Nov 03, 2018 02:55Rais wa Lebanon amesema kuwa sababu ya kuundwa harakati ya Hizbullah nchini humo ni uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ardhi ya Lebanon. Michel Aoun amesma hayo akijibu matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Mataifa, Antonio Guterres aliyedai kuwa, Hizbullah inaielekeza Lebanon katika vita. Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa nchi hiyo haiwezi kusahau historia yake.