-
Nujaba ya Iraq yasema itapambana na Israel ikiiletea chokochoko Hizbullah
Feb 14, 2018 04:03Harakati ya Nujaba ya Iraq imesema itaiunga mkono kikamilifu harakati ya Hizbullah ya Lebanon iwapo italazimishwa kuingia katika vita vipya na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda wa Israel: Tukiingia kwenye vita, Hizbullah itashambulia bandari zetu za Haifa na Ashdod
Feb 06, 2018 11:30Mmoja wa makamanda wa ngazi ya juu katika jeshi la utawala haramu wa Israel, amesema kuwa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon inamiliki makombora erevu ambayo yanaweza kusambaratisha vituo vya gesi vya Israel zikiwemo pia bandari za Haifa na Ashdod.
-
Israel: Changamoto kubwa inayotukabili ni uwezo mkubwa wa Hizbullah unaoongezeka
Jan 31, 2018 12:01Gadi Eizenkot, mkuu wa majeshi ya utawala haramu wa Israel ameonyesha wasiwasi wake mkubwa juu ya kuongezeka uwezo wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Boroujerdi: Hizbullah imechangia pakubwa kusambaratishwa ISIS
Jan 26, 2018 04:17Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa mchango mkubwa sana katika jitihada za kuangamizwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
HAMAS yasisitiza kuimarisha uhusiano wake na Iran na Hizbullah ya Lebanon
Jan 21, 2018 10:40Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema uhusiano wa harakati hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na harakati ya Hizbullah ya Lebanon umerejea kwenye mkondo wake wa kawaida.
-
Afisa wa MOSSAD akiri nguvu za Hizbullah ya Lebanon
Jan 14, 2018 10:35Afisa mmoja wa shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD amekiri kwamba kushindwa operesheni ya utawala huo ya mwaka 1997 kulitokana na Hizbullah kuwa na teknolojia kubwa zaidi iliyoiwezesha kupenya kusikiliza mazungumzo ya maafisa wa Israel.
-
Hariri aipongeza Hizbullah, ataka uhusiano uliobora na Iran
Jan 12, 2018 10:18Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri ametoa wito wa nchi hiyo kuwekwa mbali na migogoro ya eneo la Mashariki ya Kati huku akiipongeza Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini hiyo kwa jitihada zake za kupunguza taharuki katika eneo.
-
Israel: Tunapanga kumuua Nasrullah katika vita vijavyo dhidi ya Lebanon
Nov 28, 2017 04:16Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetishia kwamba Sayyid Hasssan Nasrullah, kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon yupo kwenye shabaha ya kuuawa katika vita vijavyo vya Tel Aviv dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hamas yasisitiza hatima ya pamoja ya muqawama wa Palestina na Hizbullah
Nov 20, 2017 10:38Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema katika radiamali yake kwa taarifa ya karibuni ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) dhidi ya chama cha Hizbullah kuwa hatima ya muqawama wa Palestina na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefungamana pamoja.
-
Saudia yaichochea Israel iihujumu Lebanon, Hizbullah yasema iko tayari kijeshi
Nov 13, 2017 23:34Afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kwa ajili ya makabiliano yoyote ya kijeshi huku kukiwa na tetesi kuwa Saudi Arabia inauchochea utawala wa Kizayuni wa Israel uishambulie Lebanon kijeshi.