-
Misri yakataa kuburuzwa na Saudia; yapinga vikwazo dhidi ya Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 04:22Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amesisitiza kuwa, licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi za Kiarabu ziiwekee vikwazo Hizbullah ya Lebanon lakini Cairo haina nia kabisa ya kufanya hivyo.
-
Aalimu wa Kisuni: Njama chafu za Saudia na Israel dhidi ya Hizbullah zimegonga mwamba
Nov 03, 2017 01:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama amesema kuwa, njama chafu na mipango ya utawala wa Aal-Saud kwa kushirikiana na Israel na washirika wake wa Magharibi ya kujaribu kuihusisha na ugaidi Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, imegonga mwamba na kufeli.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kuendelea mapambano anuia dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 02, 2017 04:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili wa Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akisistiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.
-
Bin Salman: Tutaendeleza hujuma nchini Yemen, tunakusudia kuzuia isitokee Hizbullah nyingine
Oct 26, 2017 11:51Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia, ameahidi kuendeleza mashambulizi ya mauaji yanayofanywa na nchi yake kuilenga Yemen.
-
Lebanon yakamata genge la majasusi wa Mossad
Oct 07, 2017 23:11Vikosi vya usalama vya Lebanon vimetangaza kukamata genge lenye mfungamano na shirika la kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel, Mossad.
-
Nasrullah: Israel itajuta kwa kutaka kulisukuma eneo katika vita
Oct 01, 2017 11:59Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel chini ya 'jahili' Benjamin Netanyahu unataka kulisukuma eneo la Mashariki ya Kati katika vita.
-
Sheikh Naeem Qassim: Kuwepo matakfiri katika Mashariki ya Kati ni mpango wa Kizayuni
Sep 28, 2017 04:27Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwepo matakfiri katika eneo la Mashariki ya Kati ni mpango wa kisiasa unaokamilisha mpango wa Wazayuni.
-
Hizbullah: Magaidi wa Daesh (ISIS) hawakuwa na budi ila kujisalimisha
Aug 29, 2017 02:55Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema wanachama waliokuwa wamejizatiti kwa silaha wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Qalamun, hawakuwa na chaguo jingine ghairi ya kujisalimisha kwa vikosi vya muqawama baada ya vikosi hivyo kuwakaribia magaidi hao katika eneo la mpaka wa pamoja wa Lebanon na Syria.
-
Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani
Jul 29, 2017 03:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa ugaidi hauwezi kuyashinda mataifa na kusisitiza kwamba jeshi la nchi hiyo na mhimili wa muqawama zitaendelea kupambana na ugaidi.
-
Iran: Kama si juhudi za Hizbullah, genge la Daesh lingekuwa limezitwaa nchi za Kiarabu
Jul 19, 2017 09:43Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, lau kama si msaada wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon, katika kupambana na kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria, basi kundi hilo lingekuwa linapeperusha bendera zake katika nchi za Kiarabu.