-
Zakzaky: Mipango ya kuwafukuza Wapalestina Gaza, kuipokonya silaha Hizbullah itafeli
Aug 19, 2025 10:44Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Yaqoub Zakzaky amebainisha kuwa, mipango ya utawala wa Kizayuni ya kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza katika ardhi yao na kuipokonya silaha Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kwa kutumia serikali ya Beirut itagonga mwamba.
-
Hizbullah: Wavamizi wa Quds hawatakuwa na nafasi kusini mwa Lebanon
Jul 02, 2025 02:11Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa na nafasi katika ardhi za kusini mwa Lebanon.
-
Hizbullah: Trump amenasa kwenye minyororo ya Israel, anapasa kujikomboa
May 26, 2025 02:50Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapasa kujikomboa kutoka katika "mikono ya Israel ikiwa anataka kufikia malengo yake."
-
Serikali ya Jordan yaipiga marufuku harakati kongwe ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin
Apr 24, 2025 04:14Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jordan ametangaza kuwa utawala huo wa kifalme umeipiga marufuku harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin na kuielezea "itikadi" yake inayohubiri kuwa sasa ni 'haramu' kisheria nchini humo.
-
Hizbullah: Iran ndiye muungaji mkono mkuu wa kadhia ya Palestina
Mar 30, 2025 07:21Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya kukombolewa kuondokana na uchokozi na uvamizi wa Israel huku akiulaani vikali utawala wa Israel kwa ukatili wake katika eneo zima ambao unawezeshwa kwa kiasi kikubwa na uungaji mkono wa Marekani.
-
Iran kuwakilishwa na Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya Nje katika mazishi ya Shahidi Nasrallah
Feb 23, 2025 03:47Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi leo wanaelekea Beirut kushiriki katika hafla ya mazishi ya kiongozi wa Hizbullah aliyeuawa shahidi, Sayyed Hassan Nasrallah, pamoja na mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Shahidi Sayyid Hashim Safieddine.
-
Hizbullah: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama
Feb 23, 2025 02:44Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama.
-
Jeshi la Israel laendelea kukalia maeneo ya ardhi ya Lebanon licha ya muhula wa kuondoka kumalizika
Feb 18, 2025 13:42Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya utawala huo na harakati ya Hizbullah ulimalizika leo Jumanne, huku Israel ikitangaza kuwa itaendelea kubaki katika "maeneo matano ya kimkakati" ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel
Jan 28, 2025 08:03Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.
-
Hizbullah: Irada ya Walebanon, ndiyo silaha kubwa zaidi ya Muqawama
Jan 27, 2025 12:30Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imepongeza hatua ya kurejea maelfu kwa maelfu ya watu katika miji yao ambayo ingali inakaliwa kwa mabavu kusini mwa Lebanon, huku wakipuuzilia mbali vitisho vya jeshi la Israel, ikisema nia yao isiyo na kikomo na moyo wao usioweza kutetereshwa, ndiyo silaha kali zaidi za mrengo wa Muqawama.