Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah

  • Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Apr 22, 2023 12:33

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: matukio ya hivi karibuni ya Palestina na eneo na milingano uliolazimishwa kuwepo na Muqawama vimezima ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran.

  • Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Nasrullah: Uvamizi wa kijeshi wa Israel dhidi ya Lebanon utajibiwa haraka

    Mar 23, 2023 11:03

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amepuuzilia mbali vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na maafisa wa utawala haramu wa Israel vya kuwepo uwezekano wa kuivamia kijeshi Lebanon na kusisitiza kuwa, uchokozi wowote wa Israel dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu utapata jibu la haraka.

  • Hizbullah: Mauaji ya makamanda wa muqawama hayatafanikisha njama za Israel

    Hizbullah: Mauaji ya makamanda wa muqawama hayatafanikisha njama za Israel

    Mar 21, 2023 02:29

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali mauaji ya kamanda wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na kusisitiza kuwa, mauaji ya makamanda wa muqawama kamwe hayatafanikisha njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Arab League, Hizbullah zakaribisha kuhuishwa uhusiano wa Iran, Saudia

    Arab League, Hizbullah zakaribisha kuhuishwa uhusiano wa Iran, Saudia

    Mar 12, 2023 10:36

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) imekaribisha makubaliano ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa Iran na Saudi Arabia, miaka saba baada ya kuvunjika uhusiano huo.

  • Hizbullah: Vikwazo vya Marekani havina tofauti na vita vya kijeshi

    Hizbullah: Vikwazo vya Marekani havina tofauti na vita vya kijeshi

    Feb 20, 2023 02:23

    Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, vikwazo vya Marekani dhidi ya Lebanon na nchi zingine havina tofauti na vita vya kijeshi.

  • Hizbullah yailaani Charlie Hebdo kwa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu

    Hizbullah yailaani Charlie Hebdo kwa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu

    Jan 11, 2023 11:22

    Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina

    Hizbullah yaipongeza timu ya soka ya Morocco kwa kuinyuka Uhispania na kuinua bendera ya Palestina

    Dec 07, 2022 13:52

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa "Twitter" ambapo ameipongeza Morocco kwa ushindi wa timu ya kandanda ya nchi hiyo dhidi ya Uhispania hiyo jana na kufuzu kuingia robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar.

  • Marekani yaiwekea vikwazo vipya Hizbullah ya Lebanon

    Marekani yaiwekea vikwazo vipya Hizbullah ya Lebanon

    Dec 02, 2022 07:54

    Katika kuendeleza sera zake za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon, serikali ya Marekani imewawekea vikwazo watu watatu na makampuni mawili ya Lebanon kwa kisingizio cha kutoa huduma za kifedha kwa harakati hiyo.

  • Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon

    Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon

    Oct 25, 2022 10:59

    Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.

  • Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish

    Nasrullah: Macho na makombora yetu yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish

    Sep 17, 2022 11:59

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, amesema leo Jumamosi kwamba macho na makombora ya harakati hiyo yameelekezwa kwenye medani ya gesi ya Karish, ambao inazozaniwa baina ya Lebanon na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS