• Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hizbullah yautahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jan 30, 2018 23:52

    Harakati ya Hizbullah ya lebanon imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kupitia kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kilichopo kusini mwa Lebanon (UNIFIL) kuhusu suala la kujenga ukuta wa kibaguzi katika mipaka na Lebanon.

  • Hizbullah: Tumejiandaa dhidi ya hatua mbaya zozote za Marekani

    Hizbullah: Tumejiandaa dhidi ya hatua mbaya zozote za Marekani

    Jan 27, 2018 13:20

    Mwakilishi wa bunge na mjumbe wa ngazi ya juu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, safari ya hivi karibuni ya ujumbe wa Wizara ya Fedha ya Marekani mjini Beirut, ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala ya Lebanon na kwamba Hizbullah imeshajiandaa kukabiliana na hatua mbaya zozote za Marekani dhidi yake.

  • Mtaalamu: Hizbullah itaibuka mshindi katika vita vyovyote na Israel

    Mtaalamu: Hizbullah itaibuka mshindi katika vita vyovyote na Israel

    Jan 06, 2018 23:14

    Uwezo wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon katika nyuga tofauti zikiwemo za kijeshi, vita stadi na vita vya kisaikolojia umeutia kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kiasi cha kuwafanya weledi wa masuala ya kivita kusema kwamba, vita vyovyote vitakavyojiri kati ya Israel na harakati hiyo, vitamalizika kwa ushindi wa Hizbullah.

  • Hizbullah: Kuvunjiwa heshima Quds ni matunda ya mchezo wa kudansi na upanga wa Trump na Salman

    Hizbullah: Kuvunjiwa heshima Quds ni matunda ya mchezo wa kudansi na upanga wa Trump na Salman

    Jan 06, 2018 13:19

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Nabil Qaouk amezitaja siasa za Saudia kuwa za maafa na kuongeza kuwa, kitendo cha kuvunjiwa heshima mji wa Quds na msikiti wake kinatokana na mchezo wa kudansi na upanga wa Rais Donald Trump wa Marekani na Mfalme Salman bin Abdulaziz Al Saud wa Saudia.

  • Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel

    Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel

    Jan 01, 2018 00:51

    Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, njia pekee ya Wapalestina na Waislamu kukabiliana na utawala haramu wa Israel na Marekani ni muqawama na mapambano dhidi ya tawala hizo.

  • Émile Lahoud: Iran na Hizbullah zimeifanya Israel ichanganyikiwe

    Émile Lahoud: Iran na Hizbullah zimeifanya Israel ichanganyikiwe

    Dec 29, 2017 12:13

    Rais wa zamani wa Lebanon, Émile Lahoud amesema kuwa nafasi na mchango muhimu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na harakati ya Hizbullah ya Lebanon vimeifanya Israel ichanganyikiwe sambamba na kuharibikiwa mahesabu yake yote katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Sheikh Nabil Qaouk: Kuiunga mkono Beitul-Muqaddas ni jukumu la Hizbullah

    Sheikh Nabil Qaouk: Kuiunga mkono Beitul-Muqaddas ni jukumu la Hizbullah

    Dec 25, 2017 11:31

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kuiunga mkono Beitul-Muqaddas ni jukumu la harakati hiyo na kwamba, Hizbullah itaendelea kubakia mstari wa mbele katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.

  • Hizbullah ya Lebanon yataka mgogoro wa Yemen upatiwe ufumbuzi wa kisiasa

    Hizbullah ya Lebanon yataka mgogoro wa Yemen upatiwe ufumbuzi wa kisiasa

    Dec 21, 2017 04:02

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa rasmi kwa mnasaba wa kutimia siku 1000 tangu kuanza hujuma na mashambulio ya kijeshi ya Saudia huko nchini Yemen na kutoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia za kisiasa.

  • Hizbullah: Mapambano ndio njia pekee ya Wapalestina kupata ushindi

    Hizbullah: Mapambano ndio njia pekee ya Wapalestina kupata ushindi

    Dec 07, 2017 11:26

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hatua ya Rais wa Marekani ya kuutangaza mji wa Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, utakuwa ni msukumo kwa watu waliokuwa kando, lakini kwa sasa wanapaswa kuingia katika medani bila ya kisingizio chochote.

  • Kutofuata Misri siasa za Saudia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Kutofuata Misri siasa za Saudia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Nov 09, 2017 10:07

    Rais wa Misri amesema kuwa licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi nyingine za Kiarabu kuiwekea vikwazo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, serikali ya Cairo haina mpango wowote wa kutekeleza vikwazo hivyo dhidi ya harakati hiyo.