-
Syria: Kamwe hatutaruhusu kushambuliwa Hizbullah ya Lebanon
Nov 08, 2017 11:43Mshauri wa Rais wa Syria amesisitiza kuwa, mahusiano ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hizbullah na Syria ni ya kiwango cha juu na kusema Damascus kamwe haitaruhusu harakati hiyo ya Kiislamu ya Hizbullah ishambuliwe.
-
Israel yazitaka balozi zake kushirikiana zaidi na Saudia dhidi ya Hizbullah
Nov 07, 2017 11:06Utawala haramu wa Kizayuni na katika kulinda maslahi ya Saudi Arabia duniani dhidi ya haraki ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon, imetoa ujumbe kwa balozi zake kuhusiana na suala hilo.
-
Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel
Oct 27, 2017 12:00Muhammad Abdul-Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia inataka kuiweka madarakani nchini Yemen serikali kibaraka.
-
Sheikh Naim Qassim utawala wa Kizayuni wa Israel utabakia kuwa ni adui
Oct 22, 2017 10:58Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea kubakia kuwa ni adui siku zote.
-
Hizbullah: Saudia imeshindwa kuunda muungano wa kukabiliana na sisi
Oct 21, 2017 23:36Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, matukio mapya katika eneo la Mashariki ya Kati yanajiri kwa maslahi ya muqawama, kama ambavyo yanapingana na mtazamo wa Marekani, Israel na Saudi Arabia.
-
Marekani, Israel na Saudia zinapanga njama ya kuizingira Hizbullah
Oct 09, 2017 23:38Gazeti moja la nchini Lebanon la al-Akhbar limeandika kuwa, hivi sasa Marekani, Saudia na Israel zinapanga njama kwa ajili ya kuidhibiti harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ili kuizuia isiweze kutumia uwezo wake katika vita vijavyo vya kuainisha hatima.
-
Saudia yapongeza vikwazo vya Marekani dhidi ya Hizbullah, nayo Hizbullah yaonya
Oct 09, 2017 11:42Waziri Mshauri wa Saudi Arabia katika Masuala ya nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi, amepongeza vikwazo vya serikali ya Marekani dhidi ya harakati ya Kiislamu ya muqawama Hizbullah nchini Lebanon.
-
Sheikh Naeem Qassim: Kuwepo matakfiri katika Mashariki ya Kati ni mpango wa Kizayuni
Sep 28, 2017 04:27Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwepo matakfiri katika eneo la Mashariki ya Kati ni mpango wa kisiasa unaokamilisha mpango wa Wazayuni.
-
Kamanda wa jeshi la Israel: Ni vizuri Israel iendelee kujiepusha kuingia vitani na Hizbullah
Sep 22, 2017 01:20Mkuu wa Majeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, ni kwa maslahi ya utawala huo ikiwa utaendelea kujitenga mbali na vita vyovyote na Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon.
-
Hizbullah ya Lebanon: Lengo la kundi la kigaidi la Daesh ni kuchafua sura ya Uislamu
Aug 18, 2017 10:31Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, lengo la vitendo vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh ni kuchafua haiba na sura halisi ya Uislamu.